Mkendo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,132
- 2,226
Ata Msiba wa Kamanda Mawazo ulizuiwa mkusanyiko kwa sababu za kipuuzi eti kuna Kipindupindu naona kimeisha Mkuu CCM ni ile ile.Wakati huo kulikuwa kuna kipindu pindu........siku hizi hamna.
Ata Msiba wa Kamanda Mawazo ulizuiwa mkusanyiko kwa sababu za kipuuzi eti kuna Kipindupindu naona kimeisha Mkuu CCM ni ile ile.Wakati huo kulikuwa kuna kipindu pindu........siku hizi hamna.
Sijali kama ni mwaka mmoja au karne, waache washerehekee hata wawe uchi, wasitumie pesa za walipa kodi tu, hilo ndilo ninalozungumzia. Wakishereheka, wasishereheke mimi hainizidishii wala kunipunguzia mapato. Wasizuwie watu kusafiri kwa hela yao wenyewe pia.Sisiemu sio chadema, miaka 39 ni milestone, lazima waiadhimishe kimtindo wao, hutaki acha.
Wakati mwingine ni vyema ukafikiri na kutafakari kwa makini kitu unachotaka kuandika kabla kuandika. Rais amefuta sherehe ya Uhuru ambayo ni sherehe ya kitaifa kwa lengo la kubana matumizi ili fedha hizo zilizotengwa kwa ajili ya sherehe ziweze kutumika katika shughuli nyingine za msingi za kujenga Taifa letu.
Lakini hajafuta sherehe za CCM na wala hawezi kuzifuta kwa sababu kwanza sio sherehe za kitaifa, pili fedha zinazotumika kufanya sherehe hizo hazitoki serikalini bali zinatoka kwenye mfuko wa chama na tatu yeye sio kiongozi wa chama hicho hivyo hana mamlaka ya kuzuia sherehe za chama hicho.[/QUOT
Thibitisha kwamba gari aliloenda nalo Rais ni la chama,usalama wa taifa waliomlinda rais ni wa chama..... anayetakiwa kufikiri ni wewe!
Wanabodi
Salaam;
Serikali ya awamu ya 5 inajinasibu kubana matumizi na kufuta baadhi ya sherehe za kitaifa kwa lengo hilo la kuzuia matumizi yasiyo ya lazima.
Kichekesho kimeonekana leo baada ya serikali nzima kuhamia singinda kwenye sherehe za birthday ya ccm ya kutimiza miaka 39.
Huko nyuma tulishuhudia sherehe za uhuru zikipigwa kumbo,sherehe za wabunge zikapigwa ban,baadae tbc nayo ikapigwa ban kwa lengo hilo hilo la kubana matumizi. Cha kushangaza Rais na serikali nzima walikuwa kwenye birthday hiyo ya ccm kwa ajili ya kutoa hotuba za mipasho!!
Kweli hii nchi ngumu sana aisee!

Du!na wewe unaamini ccm wanatumia pesa zao na sio za serikali?kweli mmetekwa akili na ccmBajeti ya Sherehe ya Birthday ya CCM inahusika na CCM, CCM wao wenyewe wanajua Bajeti yao wanatoa wapi wao ka chama.
Sasa ntakushangaa sana unapotaka kulinganisha swala la CCM na Serikali, Magufuli alienda kama Mwanachama wa CCM pale hajaenda kama Rais, Ingawa Kiti cha Urais Kipo palepale.
Huwezi kuta Budget ya CCM serikali kwa sherehe hizo.
Ivo Maadhimisho ya Chama cha Mapinduzi yataendelea Miaka yote
Kwani wapinzani wanatumiaga pesa ya nani kufanya shughuli zao,vikao vyao au sherehe zao......Du!na wewe unaamini ccm wanatumia pesa zao na sio za serikali?kweli mmetekwa akili na ccm
Nadhani unataka kujifanya kuwa ni mwelewa sana, lakini ww hujui chochote yani ni sawa na debe tupu, Makufuri ndo mwenyeki wa ccm? ccm ina miradi yake na taratibu zake, Magu ni Rais wa nchi na alizuia zile serehe kwani zilikuwa ndani ya uwezo wake, wakati mwingine muwe mnafikiri kwanza kabla ya kukurupuka, haya twambie hizo sherehe zimetumia bei gani hapo Singida? acha mambo ya kukaririshwa mambo!Wanabodi
Salaam;
Serikali ya awamu ya 5 inajinasibu kubana matumizi na kufuta baadhi ya sherehe za kitaifa kwa lengo hilo la kuzuia matumizi yasiyo ya lazima.
Kichekesho kimeonekana leo baada ya serikali nzima kuhamia singinda kwenye sherehe za birthday ya ccm ya kutimiza miaka 39.
Huko nyuma tulishuhudia sherehe za uhuru zikipigwa kumbo,sherehe za wabunge zikapigwa ban,baadae tbc nayo ikapigwa ban kwa lengo hilo hilo la kubana matumizi. Cha kushangaza Rais na serikali nzima walikuwa kwenye birthday hiyo ya ccm kwa ajili ya kutoa hotuba za mipasho!!
Kweli hii nchi ngumu sana aisee!
Hizo gharama za kuandaa sherehe ni kweli za CCM. Lakini hiyo haijaifanya serikali kutokuingia gharama kwa kuwa viongozi wakuu wa nchi walihudhuria. Imagine gharama za kusafirisha Rais kwenda na kurudi. Gharama za kukatisha mikoa Minne. Hivi unafikiri askari wangapi walikuwa on duty!? Unataka kusema CCM walipapenda gharama hizo zote pamoja na za mafuta na Malazi!?Wakati mwingine ni vyema ukafikiri na kutafakari kwa makini kitu unachotaka kuandika kabla kuandika. Rais amefuta sherehe ya Uhuru ambayo ni sherehe ya kitaifa kwa lengo la kubana matumizi ili fedha hizo zilizotengwa kwa ajili ya sherehe ziweze kutumika katika shughuli nyingine za msingi za kujenga Taifa letu.
Lakini hajafuta sherehe za CCM na wala hawezi kuzifuta kwa sababu kwanza sio sherehe za kitaifa, pili fedha zinazotumika kufanya sherehe hizo hazitoki serikalini bali zinatoka kwenye mfuko wa chama na tatu yeye sio kiongozi wa chama hicho hivyo hana mamlaka ya kuzuia sherehe za chama hicho.
Hizo gharama za kuandaa sherehe ni kweli za CCM. Lakini hiyo haijaifanya serikali kutokuingia gharama kwa kuwa viongozi wakuu wa nchi walihudhuria. Imagine gharama za kusafirisha Rais kwenda na kurudi. Gharama za kukatisha mikoa Minne. Hivi unafikiri askari wangapi walikuwa on duty!? Unataka kusema CCM walipapenda gharama hizo zote pamoja na za mafuta na Malazi!?
Rais kwenda huko siyo dhambi bali anapingana na dhana yake ya kubana matumizi!! Hicho ndiyo kinachohojiwa hapa!!!