gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 292
Mbona Mama Mramba-ZANAKI simuoni kwenye list?
Ndiyo ameruhusu kuongeza..kwanaza hata hao aliowaweka kwa shule zote hizo kajitahidi..
Mbona Mama Mramba-ZANAKI simuoni kwenye list?
Teti Tanga school[/QU Mkuu ahsante sana maana nilitaka kuandika hilo jina na usemi wake wa WASWAHILI MNAKULA TU.
Teti alikua Galanos na Mkuu sec pia bt ameshastaafu.......he was real a bad as*!!!Namkumbuka sana Andrew Kwayu wa Azania Sec. Japo umeisha mtaja. Kuna Mwl mmoja kwa jina Teti kama sijakosea(simfahamu). Wenzangu niliokuwa nao Chuo, walikuwa wakimtaja sana. Mwl huyu alikuwa akifudisha baadhi ya shule za sekondari mkoani Tanga.
Nasikia Patel alikuwa anaangali muonekano wa Mzazi na kupanga ada kutokana na muonekano wa Mzazi na wanafunzi wengi walikuwa na ada tofauti tofauti kutokana na hilo!!
RIP Mr. P Mjale Minaki High School...mutu mufupi!
ugomvi wake ulikuwa ni kufuga ndevu!
Ukikutana naye nje ya shule haulizi permit bali anaangalia kama umevaa sare ya shule au la.
Nyumba yake imekoswakoswa kuchomwa moto mara kadhaa.
PAUL MJALE RIP minaki boys
kaishozi-Dodoma sec
Alikuwa noma huyu mdingi.