Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

Pale Azania kabla ya Kwayu alikuwepo Kisamo, alikuwa mbabe. Kuna sikua alirusha kwanja kwenye kundi la wanafunzi wakigombea msosi jikoni. Enzi hizo Aza Boys tulikuwa haturuhusiwi kuchomekea mashati, ukikutwa umechomekea, mkasi unapita kukata shati saizi ya kiuno. Alipokuja Kwayu, akabadilisha sheria, kuchomekea ikawa lazima.
Kule Tambaza, enzi hizo za ubabe alikuewepo Mr Moshi
 
We dogo Acha kumsahau HeadMaster wa Mazengo...Bwana Msasa.Lol
Shule kubwa ile...
 
Patel, Mkuu wa shule Forest Hill Moro, Enzi hizo, Waziri Nchimbi alikuwa HP pale 1992/93!
 
Mr Tesha a.k.a Maujinga - Kilimanjaro Boyz sec huyu alikua mtu wa totoz sana.

Mr Mushi (RIP)aka Bamchafu second master alikua anawatoto wengi sana.
 
shelimo-kigonsera baadae pugu.
Huyu mzee alikuwa anatandika makofi balaa. Na ndio headmaster pekee aliyeweza kuleta discipline ya hali ya juu pale kigo. Kwa sasa nasikia yupo wizara ya elimu.
 
Tuliosoma Boarding kipindi hicho cha misuko suko mingi saaana kwa shule zza sekondari ndio tunawafahamu haoo walimu.... ... Hawa umaarufu wao unakuja kuwa ni wale walioona Ualimu ni wito na kuithamini sana kazi yao.
Kwa hiyo shule za commuting zilikuwa hazina walimu maarufu?

Hakuna lolote, angalia hawa admirers wanavyowakumbuka waalimu wao "maarufu," mwalimu mkuu mwingine anakumbukwa kwa kupenda wanawake, mwingine kasuluhisha mapigano ya chakula kwa kurusha fyekeo kwenye kundi la wanafunzi, mwingine anakumbukwa kwa kazalisha sana wanawake, not unthinkable wanafunzi wake. Ndio "umaarufu" tunaouongelea huo? Hizo shule zote za hao walimu zilikuwa zinapata run of the mill results in national scores, hakuna "umaarufu" wowote.

Mr Tesha a.k.a Maujinga - Kilimanjaro Boyz sec huyu alikua mtu wa totoz sana.

Mr Mushi (RIP)aka Bamchafu second master alikua anawatoto wengi sana.
Pale Azania kabla ya Kwayu alikuwepo Kisamo.... Kuna sikua alirusha kwanja kwenye kundi la wanafunzi wakigombea msosi jikoni.
 
Mr Tesha a.k.a Maujinga - Kilimanjaro Boyz sec huyu alikua mtu wa totoz sana.

Mr Mushi (RIP)aka Bamchafu second master alikua anawatoto wengi sana.

Miaka gani mkuu, mi namfahamu KISUMA, 1980s, huyu alikuwa akikupiga kibao lazma uende chini...
 
Mama Shuma-Machame Girls
Mama Msuya-Ashira/Mawenzi Sec
Mama Mgonja-Iringa Girls
Mwl Kasaro H/M-Moringe Sokoine Sec
Mwl Kwayu Ndesamburo H/M-Moringe Sokoine Sec
 
Huyo wa kwanza ananihusu.. Headmaster wangu Azania Sec.

Na nasikia alipokuja Azania,alitokea Ndanda Sec.(ambayo wanafunzi walifukuzwa kwa mambo ya udini-udini majuzi)

Mbona Mama Mramba-ZANAKI simuoni kwenye list?
 
Back
Top Bottom