Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

Mkuu,
hapo No 10 na 11 nina mashaka napo kidogo, huyo Mama Mashaka nnaimani hajafa , huyo Mama Ropa nadhani ndy atakua RIP.
Ambae husband wake ni ex player Pamba Fc Khalid Bitebo.
Mama Mashaka kwa sasa ni mkuu Buswelu sec.
Au pawe na Mama Mashaka wawili aliyekufa na huyu aliyepo sasa.
Refer your hansard properly probably mimi ndiyo nakosea .

mama Lopa yupo ila mumewe ndo RIP tena tuko jirani na hata watoto wake kina floyd na Dio ndo ma hommies, tumekuwa pamoja mtaani
 
Kwani hii ilikuwa na Headmaster ama principal?
Msemakweli alikuwa Headmaster Milambo na Mama alikuwa Principal Uhazili
huyu mliyesema alitaka kuchomewa nyumba ni nani au Kaishozy wa Dodoma sec maana yy akikutana na Mwanafunzi wa Sec yoyote ya mjini Dodoma alikuwa anawakusa warudi kwao, na ukiwa na ndevu hata km una pass anawauliza walimu wako
Mmmesahau Henjewele na luoga wa Kibasila Dar-es-salaam
 
tuwakumbuke na primary school. Mwalimu msengeni muhimbili pr school.ambae amefariki hivi karibuni

Jamani Mr. Msengeni kumbe amefariki, namkumbuka H/Master wetu Muhimbili..vipi aisee una habari za walimu wengine? kama kina Ndossi, Chuwa, Ndibalema, Nchimbi? maana sijawasikia kitamboo tangia nimemaliza 1999. Nimemiss sana mihogo ya yule ngalawa na chaulo za babu pia ile mishikaki midogo kama njugu za karanga ya yule mangi.
 
Andrew Shayo ni mnoma!!!
That bondia had a heavy voice hadi basi!!! Ila alizidi kuwa not available kwa shule!!!

Justice Delayed Is Justice Denied
 
15: Mr Mtui ( Jina la kwanza sikumbuki) - Old Moshi Sec ile karibu na CCP na Chuo cha Ushirika Moshi .

Yule Mkuu alikuwa poa Saana , alikuwa anatupa sifa ile ni Shule bora na Lazima vijana tuwe sawa Kielimu , pia alikuwa anatupa ma outing ya Kufa mtu Ashira Girls , Kibosho girls , masama na Kiraeni full kujiachia na Misosi alikuwa anaratiba nzuri na alikuwa anafatilia kila angle , shule ilikuwa bomba saana .

16: Mr Msele - huyo alikuja baadae , ni Nooma alivunja vitu kibao alikuwa mbabe saana !
 
Andrew Shayo ni mnoma!!!
That bondia had a heavy voice hadi basi!!! Ila alizidi kuwa not available kwa shule!!!

Justice Delayed Is Justice Denied

Umesoma Old moshi nini!!
 
Mr. Shayo japo hatukumkuta old moshi ila story zake tulizipata mkuu, alafu huyu wa Nshumba ni Mr.Mbanga sio Mbangwa, huyu jamaa alikuwa mbabe mwenye kuogopwa lakini alisisitiza sana masuala ya taaluma na alipokuja nsumba akitokea shybush sio siri matokeo yalikuwa mazuri hasa kwenye mitihani ya taifa..
 
Dr. Yusuf Nuh of Beit el Raas teachers college!!!!


Justice Delayed Is Justice Denied
 
Mr Kwayu alihamia Ilboru baada ya Kitemango kuleta usanii na kushusha hadhi ya shule! Nadhani Kwayu amestaafia Ilboru na sasa yupo mhaya mmoja matata sana. Kwayu has always been a nice guy. Hivi mnamkumbuka Mazengo? Huyu alitokea Dodoma akastaafu Bagamoyo Sec
 
mnamkumbuka mwalimu mkoba wa mazengo secondary? Alikuwa poa sana , alikuwa anapenda sana michezo, chakula shuleni kilikuwa kizuri na alikuwa hakabani na wanafunzi ila alisisitiza sana watu wajitahidi kusoma. Bahati mbaya yeye na mke wake wameshafariki


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wana TBS mbona kimya?sijaona Head Master wenu?mimi nilikuwa naishi jirani na ile shule naweza kuwasaidia..
1.Alexander Ndeki (hadi 1991)
2.Katendele...(Hadi 1995)
3.....

Huyo Kitemango alikuwa TBS kama mwalim wa malezi akaanzia Head Iringa-Lugalo baadae akahamia Ilboru(Ndeki) aliwabeba sana walimu wengi sana aliokuwa nao TBS....wengi sasa ni Head na walipata kipindi Ndeki akiwa MKurugenzi na Kamishna wa Elimu
 
Mwalimu Nashon Otieno Musoma High aka musoma tech. Lusingu wa Ikizu na mama Kabaka waziri
 
Back
Top Bottom