Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

yap! mwaka juzi nilifuata ganda langu ndo nikaambiwa hiyo habari, fyudo nlimkuta aisee.

mie nilifuata mwaka jana, ila sikuonana nae nilionana na engineer wa maji manispaa, kama unamkmbuka kijana mmoja "NIc Daz" aliimba wimbo wa kumbukumbu ya Mussa...
 
Kwa wale waliopita Mwanza Secondary hawata msahau headmaster DEYA...huyu alikuwa kiboko kwa wanafunzi na walimu wasiofundisha....Alweka register kila darasa mwalimu akichelewa alitoa amri asipewe kusaini...akisaini lazima aandike topic aliyofundisha...Jioni register zote zilikuwa zinakusanywa kwake anapitia na kusaini....Zilitoka division one kama 40 mwaka 1990 kwa sababu yake...baada ya hapo majungu yakamtoa mara ya mwisho nimemsikia Talo secondary school karibi na Nyambiti huko kwimba
 
mgohamwende kigonsera akikatiza asemble inapigwa atetion hata kama mwl anatangaza .sijui yupo wapi
 
father nkwera (RIP) KIGONSERA
MGOHAMWENDE KIGONSERA
SHELIMO KIGONSERA
MABUYE MILAMBO
MILINGA KANTALAMBA
YAMSEBO MAZWI
 
Leo nimekaa na kuwambuka baadhi ya Maheadmaster wa shule zetu katika miaka ya 80s, 90s na early 00s, ni wale waliokuwa katika zile shule zetu kongwe za miaka mingi, kutokana na uchache wa shule kipindi kile ilikuwa rahisi kuwajua wengi na wa shule nyingi tuuu.na wanafun

Naomba tuwataje na baadhi ya Character unazozikumbuka

  1. Mr Kwayu (Azania) huyu alipendwa sana na wanafunzi wake!
  2. Mama Mkamati (Jangwani)
  3. Mkangwa (Tosamaganga/Moro Sec) huyu mtu kwa kubadilisha suti hajambo!!
  4. Mr. Andrew Shayo (Umbwe/Arusha/Old Moshi) huyu alikuwa Bondia ukileta utani anaweza hata akakupa gloves mpigane!!
  5. Mr. Kitemangu (Ilboru)
  6. Mr. Makange (Arusha day)
  7. Mr. Vaginga J Vaginga (Ifunda) huyu alikuwa na bonge la Afro sijui alikuwa haendi Salon?
  8. Mr. Kisusange (Iyunga)
  9. Mr. Gwajimira (Kibiti) Huyu nilisikia alishatutoka!
  10. Mama Mashaka (Nganza) na huyu alishatutoka
  11. Mama Ropa (Nganza)
  12. Mr. Mbangwa (Nsumba/Tosamaganga)
  13. Mr. PB Rwamwasi (Old Moshi/Arusha sec)
  14. Mr. Malisa (Pugu)

Ongeza basi na wengine na wasifu/vituko vyao ama ongezea wasifu wa baadhi ya hao hapo juu.

Mbona katika hawa inaonekana kuwakumbuka wa Kanda ya Kaskazini
 
Yeah, Andrew Kwayu, Mwl. Mejja, Kisamo nk!, umenikumbusha mbali mkuu!
 
wakuu hawa walipenda shule na wanafunzi wao,wakuu wasmuhizi matakwa binafsi na fitina mfano mkuu wa machame girlis secondary kakalia ubabe na fitina watoto wanafeli na waalimu kuhama kila siku wazamani dhahabu bwana.
 
Vilaza utawajua tu, tunataka shule za sec na siyo vyuo vya VETA jamani lol

Kama humjui Mamndenyi vizuri basi ujue we ndo kilaza. Kama umesoma Udsm unaweza kuta Mamndenyi alikuwa mwalimu wako. Vijana mjifunze kusoma katikati ya mistari kabla ya kujibu posts kwa kukurupuka.
 
Last edited by a moderator:
Leo nimekaa na kuwambuka baadhi ya Maheadmaster wa shule zetu katika miaka ya 80s, 90s na early 00s, ni wale waliokuwa katika zile shule zetu kongwe za miaka mingi, kutokana na uchache wa shule kipindi kile ilikuwa rahisi kuwajua wengi na wa shule nyingi tuuu.na wanafun

Naomba tuwataje na baadhi ya Character unazozikumbuka

  1. Mr Kwayu (Azania) huyu alipendwa sana na wanafunzi wake!
  2. Mama Mkamati (Jangwani)
  3. Mkangwa (Tosamaganga/Moro Sec) huyu mtu kwa kubadilisha suti hajambo!!
  4. Mr. Andrew Shayo (Umbwe/Arusha/Old Moshi) huyu alikuwa Bondia ukileta utani anaweza hata akakupa gloves mpigane!!
  5. Mr. Kitemangu (Ilboru)
  6. Mr. Makange (Arusha day)
  7. Mr. Vaginga J Vaginga (Ifunda) huyu alikuwa na bonge la Afro sijui alikuwa haendi Salon?
  8. Mr. Kisusange (Iyunga)
  9. Mr. Gwajimira (Kibiti) Huyu nilisikia alishatutoka!
  10. Mama Mashaka (Nganza) na huyu alishatutoka
  11. Mama Ropa (Nganza)
  12. Mr. Mbangwa (Nsumba/Tosamaganga)
  13. Mr. PB Rwamwasi (Old Moshi/Arusha sec)
  14. Mr. Malisa (Pugu)

Ongeza basi na wengine na wasifu/vituko vyao ama ongezea wasifu wa baadhi ya hao hapo juu.

Mwl Kwayu - ASS, alikuwa akipendwa kweli. Punishment kipindi kile ilikuwa kufagia mabanda ya kitimoto.
 
15.Mama Busyanya FORODHANI,alikuwa na miguu mizuri huyo!
16.Mama Zenda Mtwara girls huyu ole wako uvae lisketi lirefu
17.Mama Mramba Zanaki
 
Nilienda msalim dogo SONGEA GIRLS.... Mwaka 99 nilimkuta mama HM mnene hivi.. Alinitimua na mizigo yangu yote.. Alikua analimisha wasichana kama watumwa.. Anayemjua amtaje.. Masaa 24 shamba dress
 
15.Mama Busyanya FORODHANI, alikuwa na miguu mizuri huyo!
16.Mama Zenda Mtwara girls huyu ole wako uvae lisketi lirefu
17.Mama Mramba Zanaki

Kumbe na nyie wanawake uwa mnakodolea 'usafiri' wa wanawake wenzenu! Te te te, JF bana!
 
Mr Kabwogi mtwara tech second. Sijui yuko wap huyu jamaa kwa term alikua anaonekana mara 2 tu
 
Kumbe na nyie wanawake uwa mnakodolea 'usafiri' wa wanawake wenzenu! Te te te, JF bana!

ah huyu ya huyu mama ilikua so remarkable jamani,hizo mini zake sasa,hazikuwa fupi saaana ila ilikua akija assembly utaziona tu!mwanamke kumwambia mwenzie na kumuadmire alivyo ni sawa tu sio dhambi jamani its jus compliments
 
1979-1982 namkumbuka sana Mr Martin na msaidizi wake Mallya(Nyang'au)pale Kibohehe. Ilikuwa hata tukienda kutembeza kichapo secondari zingine walikuwa watetezi wakubwa kama tuhuma hizo zitakuja bila ushahidi.
 
mama lopa ni jirani yangu huku bwiru mwanza, na watoto wake tumekuwa pamoja tunafahamiana sana, siku izi namuona ofisi za jiji sijui kawa nani kwenye mambo ya elimu
 
Back
Top Bottom