Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

Namkumbuka sana Andrew Kwayu wa Azania Sec. Japo umeisha mtaja. Kuna Mwl mmoja kwa jina Teti kama sijakosea(simfahamu). Wenzangu niliokuwa nao Chuo, walikuwa wakimtaja sana. Mwl huyu alikuwa akifudisha baadhi ya shule za sekondari mkoani Tanga.
 
Teti alikua Galanos na Mkuu sec pia bt ameshastaafu.......he was real a bad as*!!!
 
PATEL wa Forest hill s.s Moro ameliza wengi pale Airport.

Nasikia Patel alikuwa anaangali muonekano wa Mzazi na kupanga ada kutokana na muonekano wa Mzazi na wanafunzi wengi walikuwa na ada tofauti tofauti kutokana na hilo!!
 
Nasikia Patel alikuwa anaangali muonekano wa Mzazi na kupanga ada kutokana na muonekano wa Mzazi na wanafunzi wengi walikuwa na ada tofauti tofauti kutokana na hilo!!

ata adhabu ilikuwa ivoivo wengine fimbo, watoto wa wanene faini...nakumbuka kosa la kutobandika nembo tu unatoa buku tano,ukiwa hauna unaenda kusulubika airport.
 
RIP Mr. P Mjale Minaki High School...mutu mufupi!
ugomvi wake ulikuwa ni kufuga ndevu!

Ukikutana naye nje ya shule haulizi permit bali anaangalia kama umevaa sare ya shule au la.

Nyumba yake imekoswakoswa kuchomwa moto mara kadhaa.

umenikumbusha mbali hadi nimeamua kuwatupia moja ya picha zangu za ukumbushoo RIP baba
mjale.jpg
 
Kinala mzee wa galanos sasa hivi sijui yuko wapi..aliandika vitabu vingi sana vya agriculture
 
Bakari Gembe wa Mtwara Technical Secondary School in 1980s.Huyu Jamaa ametulisha Samaki(makwarukwaru) wenye minyoo ndani pamoja na Mbaazi mbovu. Dah Shule za Boarding hata kambi za Mafunzo zina nafuu.

hao walikuwa samaki gani vibua?
 
Salingo MKWAWA HIGH SCHOOL.Alisababisha ili ule wali na nyama lazima ujengeke misuli.Alitulisha mbegu ngumu za Maharagwe wee.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom