Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Leo nimekaa na kuwambuka baadhi ya Maheadmaster wa shule zetu katika miaka ya 80s, 90s na early 00s, ni wale waliokuwa katika zile shule zetu kongwe za miaka mingi, kutokana na uchache wa shule kipindi kile ilikuwa rahisi kuwajua wengi na wa shule nyingi tuuu.na wanafun

Naomba tuwataje na baadhi ya Character unazozikumbuka

  1. Mr Kwayu (Azania) huyu alipendwa sana na wanafunzi wake!
  2. Mama Mkamati (Jangwani)
  3. Mkangwa (Tosamaganga/Moro Sec) huyu mtu kwa kubadilisha suti hajambo!!
  4. Mr. Andrew Shayo (Umbwe/Arusha/Old Moshi) huyu alikuwa Bondia ukileta utani anaweza hata akakupa gloves mpigane!!
  5. Mr. Kitemangu (Ilboru)
  6. Mr. Makange (Arusha day)
  7. Mr. Vaginga J Vaginga (Ifunda) huyu alikuwa na bonge la Afro sijui alikuwa haendi Salon?
  8. Mr. Kisusange (Iyunga)
  9. Mr. Gwajimira (Kibiti) Huyu nilisikia alishatutoka!
  10. Mama Mashaka (Nganza) na huyu alishatutoka
  11. Mama Ropa (Nganza)
  12. Mr. Mbangwa (Nsumba/Tosamaganga)
  13. Mr. PB Rwamwasi (Old Moshi/Arusha sec)
  14. Mr. Malisa (Pugu)

Ongeza basi na wengine na wasifu/vituko vyao ama ongezea wasifu wa baadhi ya hao hapo juu.
 
Mkuu,
hapo No 10 na 11 nina mashaka napo kidogo, huyo Mama Mashaka nnaimani hajafa , huyo Mama Ropa nadhani ndy atakua RIP.
Ambae husband wake ni ex player Pamba Fc Khalid Bitebo.
Mama Mashaka kwa sasa ni mkuu Buswelu sec.
Au pawe na Mama Mashaka wawili aliyekufa na huyu aliyepo sasa.
Refer your hansard properly probably mimi ndiyo nakosea .
 
we smiling saint uko nchi gani una post usiku wote huu?anyway Andrew Kwayu Azania alikuwa safi sana ilikuwa nimtaje kucheki ushamtaja!huwa namuona sana Arusha!

kule iringa kulikuwa na Mr Mbao Mkwawa High School!alikuwa strict sana
 
Shukrani kwa hili, wanaweza kuwa wawili tofauti, huyo wa Ngaza alifariki kipindi cha karibu kabisa na msiba wa Baba wa Taifa...... 99, halafu mama Ropa kwa sasa yeye ni afisa elimu jiji la Mwanza, na mumewe alifariki kama miaka 3 iliyopita
 
Niko Tz hii hii na asubuhi saa 2.00 niko ofisini. Yap nilikuwa nalitafuta jina la Mbao, namkumbuka huyo mzee aliwahi kuwaambia vijana wake "yaani form five mzima unakubali kukimbizwa na ka-form one ka Tosamaganga?"
 
wanamuita Don King aka Shayo i remember those days akiwa arusha sec b4 hajaamia old moshi

Yap sawa sawa kabisa naikumbuka quote yake moja "my friend if you think you can temper with me, try me in judo my friend"
 
Nimemkumbuka mama Mmoja Nasikia alihamia Msalato baadae, Mama Mkiramwene alikuwa Mawenzi kama sijakosea!
 
Niko Tz hii hii na asubuhi saa 2.00 niko ofisini. Yap nilikuwa nalitafuta jina la Mbao, namkumbuka huyo mzee aliwahi kuwaambia vijana wake "yaani form five mzima unakubali kukimbizwa na ka-form one ka Tosamaganga?"

ok mkuu!imekuwaje umewafahamu ma head wote hao country wide?we ni afisa elimu au mkaguzi elimu wa kanda?
 
NImekumbuka kupitia vijiwe vya tuition miaka ile, mkikutana likizo mnapeana story na vituko vya walimu wenu, so unakuwa so anxious kuwafahamu ndio maana wengi pia niliwafahamu kwa style hiyo na baadhi kuwaona kwa occassion mbalimbali ikiwemo kuhudhuria graduations zao.... siko katika field ya elimu mkuu
 
Shukrani kwa hili, wanaweza kuwa wawili tofauti, huyo wa Ngaza alifariki kipindi cha karibu kabisa na msiba wa Baba wa Taifa...... 99, halafu mama Ropa kwa sasa yeye ni afisa elimu jiji la Mwanza, na mumewe alifariki kama miaka 3 iliyopita

SS lets me follow this matter physical,
Inanishangaza hawa Mashakas wawili wafanane kwa mambo lukuki, sababu hata huyu Mashaka wa Buswelu nae ni widow , mumewe alisha RIP.
Aidha ninatambua ufaji wa Hm wa Ngaza miaka hiyo uisemayo na kuna jamaa yangu alikwenda kwenye funeral ya Mwalimu huyo. Japo wewe unayo proof, nami nitafatilia nijiridhishe.
Ok nalala bhana am totaly tired .
 
haya asubuhi njema.... ila kama uko huko Buswelu wasalimie sana
 
Leo nimekaa na kuwambuka baadhi ya Maheadmaster wa shule zetu katika miaka ya 80s, 90s na early 00s, ni wale waliokuwa katika zile shule zetu kongwe za miaka mingi, kutokana na uchache wa shule kipindi kile ilikuwa rahisi kuwajua wengi na wa shule nyingi tuuu.na wanafun

Naomba tuwataje na baadhi ya Character unazozikumbuka

  1. Mr Kwayu (Azania) huyu alipendwa sana na wanafunzi wake!
  2. Mama Mkamati (Jangwani)
  3. Mkangwa (Tosamaganga/Moro Sec) huyu mtu kwa kubadilisha suti hajambo!!
  4. Mr. Andrew Shayo (Umbwe/Arusha/Old Moshi) huyu alikuwa Bondia ukileta utani anaweza hata akakupa gloves mpigane!!
  5. Mr. Kitemangu (Ilboru)
  6. Mr. Makange (Arusha day)
  7. Mr. Vaginga J Vaginga (Ifunda) huyu alikuwa na bonge la Afro sijui alikuwa haendi Salon?
  8. Mr. Kisusange (Iyunga)
  9. Mr. Gwajimira (Kibiti) Huyu nilisikia alishatutoka!
  10. Mama Mashaka (Nganza) na huyu alishatutoka
  11. Mama Ropa (Nganza)
  12. Mr. Mbangwa (Nsumba/Tosamaganga)
  13. Mr. PB Rwamwasi (Old Moshi/Arusha sec)
  14. Mr. Malisa (Pugu)

Ongeza basi na wengine na wasifu/vituko vyao ama ongezea wasifu wa baadhi ya hao hapo juu.

Kitemangu yu wapi huyu head master?alinifanya nipende shule sana alikuwa smart sana
 
Baada ya kuondoka Karatu alienda Karatu then sikumbuki vizuri kuwa yuko wapi
 
Asante mkuu alikuwa rafiki mkubwa wa mzee wangu ujinga wowote niliokuwa nikiufanya shule akikutana na mshua tu anampa kila kitu,nilipata nidhamu kwa ajili yake
 
....kumbe wewe ndo unayeshikilia roaster za Ma HM pale wizaran ee??...nashukuru kufaham.
Punguzeni nyanyasa walim.
 
tuwakumbuke na primary school. Mwalimu msengeni muhimbili pr school.ambae amefariki hivi karibuni
 
Back
Top Bottom