Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
Ndiyo ameruhusu kuongeza..kwanaza hata hao aliowaweka kwa shule zote hizo kajitahidi..
Ndio umuongezee sasa!
Ndiyo ameruhusu kuongeza..kwanaza hata hao aliowaweka kwa shule zote hizo kajitahidi..
Bino pale Ilboru aliifanya shule itambe katika academics kila mwaka wakati wake
Sizani kama upo sana, ni kweli shule ya Ilboru ilitamba enzi zake. Ila Kitemango ndiye aliyeipandisha chati zaidi ikawa ya kwanza Form IV na VI kitaifa. Enzi za Kitemango alikuwa anacheza 3 bora ,hii ilitokan na kupeleka sera za seminari kuwa kama mwanafunzi ni mbovu anafanya mbinu zote usifanye mtihani.
kipindi hicho chief losujaki alikuwepo? ama Mzee Shirima pale Ilboru?
Mwakalinga hapo umeongea, huyo alikuwa mwalimu wa mzuri sana, hivi yuko wapi siku hizi?Mmenye nawe kumbukumbu zako zipo kushoto.Lusujaki (R.I.P) wa juzi sana kaanza kazi miaka ya 1990, hata kuoa kaoa miaka ya 1996- pale pale ilboru ...Wakongwe ni kama kina Mr Kiringo.
Baada ya Bino kulikuwa na Mtui (1992-1994)huyu ndio aliifanya Ilboru iheshimike, ilikuwa ni namba moja au mbili kitaifa kila mwaka, nadhani baada ya huyo ndio akaja Kitemango. Hivi huyu Makange wa Arusha day ndie yeye alikuwa Ilboru kwanza akifundisha DS?
Andrew Kwayu Azania, alikuwa poa sana full support ila kuna siku alitupa adhabu moja sitasahau hahaha
15. Headmaster bukoba seco. Bagambirana huyu alikuwa noma. Alikuwa anachimba mkwara wa hatari.badae alienda karagwe seco,alikuwa anamentain discipline kwa wanafunzi na walimu. Kwa sasa ni hmaster shule ya kkkt bukoba. 16. Mrs bagambirana alikuwa h/mistress rugambwa.huyu mama alikuwa mzuri kama mmewe.kwa sasa ni h/m bweranyange girls seco. 17. Fr furtunatus bijura. Huyu alikuwa rulenge seco.miaka ya 80 shule hii ilifanya vizuri sana. Alipotoka rulenge alienda usa kusoma na ni phd holder na yuko jimbo la kayanga. 18. Bakuza wa ihungo seco. Alivyostaafu alienda kadea huko wanafunzi wakagoma na kutaka kumuua.wakti wa enz zake ihungo shule ilikuwa tishio. Kwa sasa ni marehemu
umenikumbusha aisee, alituita assemble halafu aliamuru milango yote ya shule ifungwe. Akaanza kutupigisha push up mpaka tukalegea kabisa. kosa letu lilikuwa ni kutoroka vipindi vya darasani na kwenda Tuition.Huo ulikuwa ni mwaka 2000.
Kwayu alijua ku motivate wanafunzi wapate div One ... naikumbuka sana Azaboy ya Andrew Kwayu.
yap! mwaka juzi nilifuata ganda langu ndo nikaambiwa hiyo habari, fyudo nlimkuta aisee.haya mkuu!!! hiyo nayo ilikuwa kali!! Unajua now Mkangwa ni afisa elimu wilaya ya Iringa?