princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
- Thread starter
- #81
teh!! hivi hadi kula kunafundishwa kumbe!!??Ingekuwa socializing ile ya zamani ya kukutana ningekufundisha kula ugali
teh!! hivi hadi kula kunafundishwa kumbe!!??Ingekuwa socializing ile ya zamani ya kukutana ningekufundisha kula ugali
charminglady katka wote wanaopenda ugali atleast wewe umeniconvice!! au sio Remmy!!??yeuwiii, me kitu cha kuku wa kienyeji tena awe katiwa nazi na ugali wa dona mlaini. . . ntalamba hadi vidole!
Ugali ndio, najua mabinti wengi hawapendi ugali, watoto wengi hawapendi ugali pia kama nilivyokuwa mimi zamani but siku hizi ndio chakula changu kikuu
Ugali ndio, najua mabinti wengi hawapendi ugali, watoto wengi hawapendi ugali pia kama nilivyokuwa mimi zamani but siku hizi ndio chakula changu kikuu
Dah una offer yangu ya dinner ya ugali popote unapotaka charmingladyM'Jr me napenda ugali mbaya, tena ukinambia nichague kati ya ugal na wal ntachagua ugali.
Yeah, kwa mfano we unafikiri kwanini kuna vyakula vya kisukuma, vya kihaya, kichagga na kuendelea? Kwasababu kumekuwa na mafunzo ya kula vyakula hivyo na imekuwa inarithishwa kwa kila kizazi. So yes kula chakula fulani kunafundishwateh!! hivi hadi kula kunafundishwa kumbe!!??
ni kweli,ni mnyama wa mtoni,wengine wanadhani ni mnyama wa ziwani
haya ntamtafta mchina anifundishe kula vyakula vyao!!!Yeah, kwa mfano we unafikiri kwanini kuna vyakula vya kisukuma, vya kihaya, kichagga na kuendelea? Kwasababu kumekuwa na mafunzo ya kula vyakula hivyo na imekuwa inarithishwa kwa kila kizazi. So yes kula chakula fulani kunafundishwa
mzee wa nyama upo!!!??Ni mnyama wa ziwani...??? hii ni mpya.
charminglady unialike na mimi mkanifundishe kula ugali!!Dah una offer yangu ya dinner ya ugali popote unapotaka charminglady
Ugali ndio, najua mabinti wengi hawapendi ugali, watoto wengi hawapendi ugali pia kama nilivyokuwa mimi zamani but siku hizi ndio chakula changu kikuu
shost umeongea tenah waeke mboga kibao ili wanishawish!!!!Ugali mie nakulaga tu kwa vile unakuwepo, ila siufeel kabisa!!
Hahahahaa wale wanakula Nyoka asee...angalia usije ukazoea kula nyoka maana hawa wa huku kwetu wana sumu balaahaya ntamtafta mchina anifundishe kula vyakula vyao!!!
mzee wa nyama upo!!!??
shost umeongea tenah waeke mboga kibao ili wanishawish!!!!
mimi mwaya napendelea kuku, samaki awe filet, chapati za maji au zakusukuma, maharage, pweza na prawns hunitoije chakula gani unapendelea!!??
mi napenda ndizi & maini au samaki!!
wewe jeeee!!!!!!!!????????????????????
Hahahahaa wale wanakula Nyoka asee...angalia usije ukazoea kula nyoka maana hawa wa huku kwetu wana sumu balaa
nipo princess enny ila mimi sio mzee...mie bado kijana kabisaa tena bado damu inachemka
mimi mwaya napendelea kuku, samaki awe filet, chapati za maji au zakusukuma, maharage, pweza na prawns hunitoi