Unapenda chakula gani?

Hapo red ndo chakula kupitia mdomo upi? Manake ndizi zaweza tumika kwa mdomo wa juu lakini kuna mabinti wengine wanazitumia kwa mdomo wa chini. Sasa tuambie haswahaswa ulikuwa unamaanisha nini? BTW hujambo gfsonwin wa hommie wangu Kaizer?

hapa tunaongelea chakula kinachopita kwenye buccal cavity na wala siyo kwenye vaginal cavity. shhhhhhhhhhhhhhhh!
halafu platozoom umempa like ya nini huyu? miye kwasababu tu kasoma post yangu sasa wewe umempa kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Ugali wa muhogo na samaki chupu chupu, kisamvu, pili pili kali! I can't get enough of this!
 
Hiyo makitu uchanganye na kiti Guinness ni full burudani...

attachment.php
Asprin mbona umemlalia KARIA sasa!!??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom