Unapenda chakula gani?

teh teh teh! Kijana hata mtoto mdogo 2naweza 2kamuita mzee wa nyonyo coz amebobea kwenye hyo secta! So we n mzee wa nyama!lol bt ngoja nkuite upendavyo Kijana!

Basi kama unataka kuniita mimi mzee basi mimi ntakuita bibi...Au unasemaje mrembo?
 
Dah sasa mama we hata vyakula vya Lushoto kwetu hata hupendi kimoja sa mi si ntashindwa kukutoa out!

hahahahahah M'Jr mi vya asili na enda na vile vya kule kijijini kwa bibi haswa..
Ugali wa Kwante na dansai kwa kikwetu ( au mlenda) na maziwa ya mamahai...:)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom