kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,289
- 1,313
Wabongo kwa kuamini conspiracy theories!
Area51 imejaa conspiracies kama ilivyo illuminati au freemasonry hapa wote mnajazana chenga tu Hakuna anaejua
Kama linalindwa nyie mnajuaje? Tatizo waaTz mmejua kuingia YouTube na Google basi wote mnajifanya researchers mliobobea. Smh
Hakuna uthibitisho wa aliens mahala popote duniani acheni kujazana ujinga
toa elimu tujue mkuu,sio maneno mazuri haya