Sehemu zinazolindwa zaidi Duniani

RO7 ZA MGOS

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
1,663
4,570
ZIFAHAMU SEHEMU SABA HATARI ZAIDI DUNIANI KATIKA MAISHA YAKO.

Kwa fikra za kawaida tunadhani ya kwamba sehemu zinalindwa zaidi duniani ni Benki,Ikulu,kambi za jeshi na Bungeni labda kwa sababu ya kuwepo viongozi wakubwa wa taifa au hela zinazopatikana Benki hizo.

Leo nakuletea sehemu saba ambazo ni hatari zaidi duniani ambazo ukifika sehemu hizo kama siyo mhusika lazima uuwawe!.Sehemu hizo zinaulinzi wa hali ya juu sana.

1:BENKI YA FEDERAL RESERVE:- Hii ni Benki iliyopo katika jiji la New York,Marekani ambayo inatumika kuhifadhi zaida ya 25% ya dhahabu zote duniani.Benki hii ni moja kati ya sehemu zenye ulinzi mkali zaidi duniani ikiwa imejengwa kwa urefu wa futi hamsini kutoka usawa bahari na inalindwa na zaidi ya wanajeshi 5,000.

2: JUMBA LA GREENBRIER:- Jumba hili linapatikana katika mji wa Virginia,Marekani ambapo unaambiwa linatumika kuhifadhi vifaa vya nyuklia vya Marekani.Unaambiwa katika jumba hili ndipo viongozi wa juu wa Serikali na kijeshi hufanyia mkutano na kuamua wapi watashambulia.

3: MPAKA WA KOREA KUSINI NA KOREA KASKAZINI:- Huu ni mpaka ambao unazitenganisha nchi mbili mahasimu duniani.Ni moja kati ya sehemu ambazo zinalindwa zaidi duniani ambapo kuna zaidi ya wanajeshi 2,000 ambao hufanya doria.Ni vigumu kwa mtu kufika kwenye mpaka huu kwa sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha maisha yako.

4: INAPOHIFADHIWA MITAMBO YA WIKILEAKES:- Miongoni mwa sehemu zinazopewa ulinzi mkubwa duniani ni pamoja na mahali panapohifadhiwa mitambo ya kundi la wanahabari wachunguzi ambao hutoa siri za nchi mbalimbali duniani wakiwemo viongozi wakubwa wanaotenda kinyume na taratibu za kiuongozi ikiwa ni pamoja na rushwa na matumizi mabaya ya ofisi.Mitambo hii ipo katika milima ya Sweden ambapo unaambiwa ina uwezo wa kuzia mabomu ya nyuklia.

5: GHALA LA DOOMSDAY:- Ghala la Doomsday lipo katika kisiwa cha Spitsbergen, Norway ikiwa ni moja kati ya sehemu zinazopewa ulinzi wa hali ya juu zaidi duniani.Ulinzi unaopewa ghala hili ni kwa sababu ndimo zilimohifadhiwa zaidi ya aina 3,000 za mbegu.Hii ni kulinda dunia iwapo kutatokea vita au majanga ya asili yatakayosababisha uhaba wa chakula duniani.

6: AREA 51:- Najua na kuamini kuwa ni watu wengi ambao wamewahi kusikia sehemu hii,ni moja kati ya sehemu zenye ulinzi mkali zaidi dunia.Ni eneo ambalo hutumika kutengeneza ndege za kivita za Marekani,mabomu ya nyuklia na vifaa vya kitekinolojia vilivyotumika katika safari ya mwezini mwaka 1945,na hii sehemu inahusishwa na kuhifadhi viumbe aina ya Aliens.Hawa ni viumbe wenye tekinolojia ya hali ya juu sana.

7: MLIMA WA CHUMA:- Mlima huu upo Pennsylvania, Marekani ambao unatumika kuhifadhi mitambo inayoendesha mitambo ya 'Internet'.Sehemu hii pia hutumika kuhifadhi data na nyaraka za siri za Serikali ya Marekani.

Ahsanteni sana 🙏🙏🙏.
C&P
 
Katika yooote hayo number sita ndo ukweli mtupu!........Mt Moriah!! ulioko nchini Israel ndo number moja! hapa kuna inter planetary connections! alfa draconis communications! kutoka anga za juu!

hapa ndo ascensions Mt....na mtu yeyote huruhusiwi kukanyaga hapo!! ukipotea njia kwenye mlima huu unauliwa faster siku USA wakiachia Mlima huu! baaasi wamekwisha hakuna u super power tena!! milele yote!!
 
sikujua kama namba 4 inalindwa
 
Mambo mazito haya
 
iyo namba 4 inalindwa na serikali ya sweden au?
 
Ahsanteni sana .
C&P
1. Namba 2 na 4 umetunywesha chai.

2. Federal Reserve of New York hailindwi na wanajeshi bali inalindwa na Federal Reserve Police. Jamaa wana kitengo chao cha ulinzi kabisa.

3. Iron mountain kweli ipo na inalindwa lakini sio kweli kwamba kuna mitambo ya nyuklia. Hilo ni eneo ambalo kuna sehemu za kuhifadhia vitu muhimu kama nyaraka halisi za kihistoria, nyaraka za haki za ugunduzi (mfano patents za Thomas Edison etc). Watu wenye vitu vinavyohitaji uhifadhi wa hali ya juu wanaruhusiwa kulipia hiyo huduma.

4. Greenbrier ina underground bunker kwa ajili ya wabunge wa bunge la Congress kama kukitokea shambulio la nyuklia na sio kama ulivyoandika wewe

4. Kuna sehemu nyingine nyingi ambazo hulindwa pengine kuliko hizo ulizotaja na hujazitaja mfano;
1. Fort Knox, Kentucky- Hili eneo lina kambi ya jeshi na pia lina sehemu ya kuhifadhi nyaraka mbalimbali za siri na pia madini na vito vya thamani.

2. Vatican Secret Archives - Maktaba ya siri ambayo ina nyaraka mbalimbali za Kanisa Katoliki.

3. ADX Prison, Colorado - Maarufu kama "Supermax", ndio gereza lenye ulinzi mkali kuliko yote duniani. Wafungwa wake ni high profile kama magaidi, mafia bosses, majasusi waliouza siri za serikali (moles na double agents) n.k.
 
Back
Top Bottom