Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Ata cjaelewa ulichokiongea unakusudia nn haswa

kwa viumbe toka nje ya dunia, kufika kwao duniani hakuta wapa mazingira sawia kuwawezesha kufanya yale tunayoyafikiria bila ya kuwa navisaidizi.
mfano mdogo hawawezi kujua lugha zetu ghafla kiasi cha kuwasiliana nasi vema, achilia mbali mifumo yao ya kibaiolojia haitaweza kustahimili duniani mfano mdogo pia tunaona vyombo vinavyoenda angani vikihitaji maboresho kadhaa kumuwezesha binadamu kukabiri changamoto kama upungufu wa oxygen n.k. suala hili pia wao litawahusu watahitaji suti maalum za kutembelea ...
 
Ayo unayoyawaza wenzio waliwaza miaka ya 1800
 
Ayo unayoyawaza wenzio waliwaza miaka ya 1800

kweli, kama jadoo "koi mill gaya"

baada ya kuyawaza wakatoa suluisho gani, wanadamu bado wanavaa space suit na walikua wanabeba vodka kwenda kunywa mir.
 
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.

Sasa kama ni siri Mkuu mbona mnajua na kilichopo humo
 
mnaweza pia mkatafuta taarifa zaidi na uelewa jaribuni kupata taarifa ya Dulce military base underground. ipo mexico
 
lla nasikia kuna sehem ya ajab zaid ambayo ipo katkat ya dunia na spirts zote hukutana huko.
 
Back
Top Bottom