Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

...
fananisha picha hizo mbili ya hiyo wakiongeza mafuta katika Rover na kuifuta picha ya kujazia mafuta (A)
...

Mkuu, hiyo yenye A, hiyo pampu nyekundu ya mafuta kivuli chake kipo tofauti na vivuli vingine humo pichani!

Kuna jambo hapo!!
 
Wabongo kwa kuamini conspiracy theories!

Area51 imejaa conspiracies kama ilivyo illuminati au freemasonry hapa wote mnajazana chenga tu Hakuna anaejua

Kama linalindwa nyie mnajuaje? Tatizo waaTz mmejua kuingia YouTube na Google basi wote mnajifanya researchers mliobobea. Smh

Hakuna uthibitisho wa aliens mahala popote duniani acheni kujazana ujinga

Pamoja sana mkuu, yaani aliens wanaotumia nguvu za giza wampoteze mwenzao na wasindwe kuja kumtafuta? Kwa kumuogopa nani na wao wapo juu kiteknolojia? Tusijazane ujinga
 

Tatizo la dunia tunayoishi sasa ni deception imetawala...amna cha aliens hiyo ni label tu ili kupotezea ukweli kwamba satan real exist with his fallen angels...this beings their have ability to appear and disappear without a trace and travel with a speed that is beyond the law of physics, this are spritual beings
""Today we call them
angels and demons, tomorrow they will be called
something else..." -aleister Crawly

Someni vitabu vya dini vizuri ili msidanganyane
 
Tatizo la dunia tunayoishi sasa ni deception imetawala...amna cha aliens hiyo ni label tu ili kupotezea ukweli kwamba satan real exist with his fallen angels...this beings their have ability to appear and disappear without a trace and travel with a speed that is beyond the law of physics, this are spritual beings
""Today we call them
angels and demons, tomorrow they will be called
something else..." -aleister Crawly

Someni vitabu vya dini vizuri ili msidanganyane
Vitabu vya dini vip mkuu..?....kama ni biblia na quaran.......sijui bhana.
 
Vitabu vya dini vip mkuu..?....kama ni biblia na quaran.......sijui bhana.

sijui sana kuhusu quran imesema nini kuhusu ili lakini Biblia inasema hivi
“Maana vita vyetu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi ovu la ulimwengu wa roho; tunapigana na watawala, wakuu na wenye nguvu, wanaomiliki ulimwengu huu wa giza.”
--Waefeso‬ -6:12‬ -
Kiingereza ndo kinamaana pana zaidi
Ephesians 6:12
For we do not wrestle against flesh and blood, but
against the rulers, against the authorities, against
the cosmic powers over this present darkness,
against the spiritual forces of evil in the heavenly
places.

“Mnamo siku ya tano ya mwezi wa nne, mwaka wa thelathini, nilikuwa Babuloni kwenye mto Kebari miongoni mwa wale watu waliopelekwa uhamishoni. Basi, mbingu zilifunguka, nikaona maono ya Mungu. Katika siku hiyo ya tano ya mwezi (ulikuwa mwaka wa tano baada ya mfalme Yehoyakini kupelekwa uhamishoni Babuloni), Mwenyezi-Mungu aliongea nami kuhani Ezekieli mwana wa Buzi, nilipokuwa Kaldayo karibu na mto Kebari, naye Mwenyezi-Mungu akaniwekea mkono wake. Nilipotazama niliona upepo wa dhoruba unavuma kutoka kaskazini: Kulikuwa na wingu kubwa lililozungukwa na mngao, na moto ulichomoza humo mfululizo na katikati ya huo moto kulikuwa na kitu kinametameta kama shaba. Kutoka humo nilibainisha viumbe hai wanne, ambao walionekana hivi: Walikuwa na umbo la binadamu. Kila mmoja alikuwa na nyuso nne na mabawa manne. Miguu yao ilikuwa imenyoka; nyayo za miguu yao zilikuwa kama kwato za miguu ya ndama, nazo zilimetameta kama shaba iliyosuguliwa. Walikuwa na mikono ya binadamu chini ya mabawa yao katika pande zao nne. Ncha za mabawa yao ziligusana kila bawa na bawa lingine. Waliposogea, upande wowote ule, walikwenda mbele moja kwa moja bila kugeuza miili yao. Kuhusu nyuso zao nne kila mmoja wao alikuwa na uso wa binadamu upande wa mbele, uso wa simba upande wa kulia, uso wa ng'ombe upande wa kushoto, na uso wa tai upande wa nyuma. Mabawa mawili ya kila mmoja yalikuwa yamekunjuliwa juu na kugusana na kwa mabawa yale mengine mawili walifunika miili yao. Popote roho ilipotaka kwenda, walikwenda; kila mmoja wao alikwenda mbele moja kwa moja bila kuugeuza mwili wake. Katikati ya hao viumbe hai kulikuwa na kitu kilichoonekana kama makaa yanayowaka moto, kama miali ya moto iliyomulika huku na huko kati ya hao viumbe. Moto huo ulikuwa mwangavu na umeme ulichomoza humo. Viumbe hao pia walikwenda huku na huko kama pigo la umeme. Nilipokuwa nawatazama hao viumbe hai niliona chini karibu na kila kiumbe kulikuwa na gurudumu. Magurudumu hayo yalionekana kuwa ya namna moja, yanametameta kama jiwe la zabarajadi na muundo wao ulikuwa kama gurudumu ndani ya gurudumu lingine. Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka. Mizingo ya hayo magurudumu ilikuwa mirefu kutisha na mizingo ya magurudumu hayo ilikuwa imejaa macho pande zote. Hao viumbe hai walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda kandokando yao; na viumbe hao walipoinuka juu kutoka ardhini, magurudumu hayo yaliinuka. Popote roho ilipokwenda walikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja nao; maana roho ya hao viumbe hai ilikuwa katika magurudumu hayo. Viumbe hao walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda; waliposimama, nayo yalisimama; walipoinuka juu kutoka ardhini, magurudumu nayo yaliinuka pamoja nao. Maana roho ya hao viumbe hai ilikuwa katika magurudumu hayo. Juu ya vichwa vya hao viumbe hai kulikuwa na kitu mfano wa anga, kinangaa kama kioo. Chini ya kitu hicho walisimama hao viumbe hai; mabawa mawili ya hao viumbe yalikuwa yamekunjuliwa kuelekeana, na kwa mabawa mengine mawili walifunika miili yao. Walipokuwa wanakwenda, nilisikia sauti ya mabawa yao; sauti ya mvumo huo ilikuwa kama ile ya maji mengi, kama sauti ya ngurumo kutoka kwa Mungu wa majeshi, na kama kelele ya jeshi kubwa. Waliposimama, walikunja mabawa yao.”
--Ezekieli‬ -1:1-24‬
Iko mistari mingi kwenye biblia umegusia swala ili lakini kwa misingi ya spiritual beings na sio kama propaganda ya kusema ni aliens
 
Na wanafanya hivyo kwa misingi ya kufanya binadamu waamin kwamba shetani hayupo...kinachofanyika sasa hivi ni kuwadisconnect watu na imani ya kuwa kuna Mungu na shetani, halafu wanawaprogram watu wa chini kwa uhalisia unaowafaa kupitia media ndo maswala ya alien yanaanzia hapo
 
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.


Mkuu Mbona Umehadithia Movie Tena Ninayo Hapa Home,inaitw Area51
Unaamini Vp Picha Za Kusadikika Je Ww Ushafka Area51 Na Kama Hujafka Umepajuaje???
HIYO NI MOVIE AMBAO HAMJAIONA MKAITAFTE INAITWA AREA-51
 
Mkuu Mbona Umehadithia Movie Tena Ninayo Hapa Home,inaitw Area51
Unaamini Vp Picha Za Kusadikika Je Ww Ushafka Area51 Na Kama Hujafka Umepajuaje???
HIYO NI MOVIE AMBAO HAMJAIONA MKAITAFTE INAITWA AREA-51

Watu wakishaangalia hizo documentary hawafanyi research zao, ndo mtu anasema viumbe vya ajabu very interest because actual ni fallen angels

It has been said that Jack Parsons held a satanic ritual on
the very spot where area 51 is currently located. Parsons' occult ceremony was called
the"Babylon Working" project. It was designed by Aleister Crowley - a Satanist and a man that called himself "the beast 666."The purpose of the series of occult ceremonies,on the spot where
area 51 is now located, was to unseal an inter-dimensional gateway. This, they hoped would allow
other dimensional entities known as the"Old Ones"(demons) access into our space/time
continuum. During the ritual, one person claimed to witness Parsons rip a hole in space time and
he said that something evil flew in. The culmination of these ceremonies was supposedly
effective, having resulted in the establishment of "extra-terrestrial contact." Parsons was chosen by Aleister Crowley to lead the satanic O.T.O.(Ordo Templi Orientalis) secret society in California
in 1942. So, it would not be surprising at all that at area 51, the very spot where this satanic
gateway was opened, there would be many UFO sightings."
http://en.wikipedia.org/wiki/Babalon_Working
 
Whaaat?
Alien ni mapepo???
Ha ha ha

Jamaa wanajichanganya mno hawajui hata wanachosema.. Yaani wengi ni waropokaji tu wanaungaunga stori... Sasa kama aliens ni mapepo unawezaje kumkamata na kumfunga pepo kwenye nyumba alaf akupe siri..
 
So hizo sehemu zote kuna aliens wanafugwa?

Nimekwambia Hakuna uhakika wa uwepo wa aliens mahala popote, Hakuna mjuzi ataekuja kukwambia nini kinafanyika pale sababu Hakuna mwenye uhakika zote Ni conspiracies tu. Wabongo mnapenda sana conspiracies


Thibitisha kwamba hukuna allien
 
aliens tungewakamata bongo tukawahoji kwa kiswahili wangetupa siri za Saturn huko kwao, nasa wakikamatwa mars na kuhojiwa kwa lugha za huko sijui watajibu nini?
upuuzi mtupu!
 
aliens tungewakamata bongo tukawahoji kwa kiswahili wangetupa siri za Saturn huko kwao, nasa wakikamatwa mars na kuhojiwa kwa lugha za huko sijui watajibu nini?
upuuzi mtupu!

Ata cjaelewa ulichokiongea unakusudia nn haswa
 
Back
Top Bottom