Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Ni kweli ngerengere ndege haziruhusiwi kupita kwasababu ya kiusalama. Ipo kwenye ramani ya marubani hii.
hawezi kukueleaa mwambie aende akaoitishe ndege pale ngere bgere alafu ataona matokeo...
Screenshot_20230529-111624.jpg
 
So hao eliansi wanaongea lugha gani.......wanakulaga nini.......?........habari zaidi kuwahusu.............
hivi na wewe umekaza masikio ili kujua kama kuna eliansi na unaamini kabisa kuwa wapo....?
 
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.
Haya
 
Back
Top Bottom