- Thread starter
- #101
Damn Tanesco! Tayari washachukua umeme wao mapemaa hii!!
Una bahati. Wengine hata hawajui kama walirudishiwa.
Damn Tanesco! Tayari washachukua umeme wao mapemaa hii!!
Huku kwetu waliturudishia saa 6, leo saa 12 tayari wameshauchukua! Kwa hiyo mgao ni 18 hrz?Una bahati. Wengine hata hawajui kama walirudishiwa.
Huku kwetu waliturudishia saa 6, leo saa 12 tayari wameshauchukua! Kwa hiyo mgao ni 18 hrz?
Kwa nini ajiuzuru ? Sema kwa nini vilaza wa kitanzania wanagandisha maubongo yao tu? wanaojiita wasomi lakini hawawezi kutatua hata tatizo moja linalohitaji kutumia AKILI. Au tuende tukaague kwa babu wa loriondo kuhusu power crisis ?!hv kwann ngereja hajihuzuru!
Kwa nini ajiuzuru ? Sema kwa nini vilaza wa kitanzania wanagandisha maubongo yao tu? wanaojiita wasomi lakini hawawezi kutatua hata tatizo moja linalohitaji kutumia AKILI. Au tuende tukaague kwa babu wa loriondo kuhusu power crisis ?!
inabidi waziri aunde tume kwa ajili ya kuchunguza tatizo la kukatikatika kama walivyofanya uwanja wa taifa.
Kaka tulia usiyumbe na msimamo wako,CCM oyeee! Haya ndio mafanikio ya serikali ya CCM.Damn Tanesco! Tayari washachukua umeme wao mapemaa hii!!
Hawezi kujiuzuru kwa sababu sio yeye anayeleta mvua..hahusiki na matatizo haya.. Hiyo ni according to Sinbad, but Sinbad the flyer not the Sailor.hv kwann ngereja hajihuzuru!
Ahaa! kweli Mkeshaji umenifumbua macho na masikio. Nilidhani tatizo lingemalizika, kumbe tatizo litakuwa la kihistoria kwa jinsi litakavyokuwa sustainable, mwee!?Tumeshaahidiwa mara kibao kuwa mgawo wa umeme utakuwa historia Tanzania. Tusilalamike jamaa wanatimiza kauli yao. Na kweli mgawo wa umeme ni historia kubwa hapa nchini.
we avator yako vipi? au mm macho yangu yashaanza kuzeeka?
Macho yako wala hayajaanza kuzeeka, ulichoona ndicho. Tatizo ni huyo Abigree alitengeneza / kuchagua avitar ya kizushi. Abigree, ushindwe na ulegeeeee!!!!
Tukirudi kwenye mada kuu, mimi nyumbani umeme unapatikana kwa massa matatu tu wakati wowote kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi. Sijui wana maana gani hawa Tanesco, yaani tusubiri kupika hadi saa sita usiku, na kunywa maji yaliyopoa hadi saa tisa usiku na tuangalie TV usiku wa manane tu ambapo hata kufuatilia shughuli za bunge kushuhudiwa Ngeleja anavyoshughulikiwa tusione!!! Hivi huyo Ngeleja naye anathirika na mgao, anaishi wapi? Nina hasira na huu mgao, wee acha tu!!!!
Ishu hapa siyo CCM! Tatizo ni utendaji mbovu wa mgt ya Tanesco! Hamna Mkurugenzi yeyote wa Tanesco anayeripot CCM! Wote wako chini ya Bodi!Tutenganishe haya mambo!Kaka tulia usiyumbe na msimamo wako,CCM oyeee! Haya ndio mafanikio ya serikali ya CCM.
Ishu hapa siyo CCM! Tatizo ni utendaji mbovu wa mgt ya Tanesco! Hamna Mkurugenzi yeyote wa Tanesco anayeripot CCM! Wote wako chini ya Bodi!Tutenganishe haya mambo!
kama tatizo ni menejimenti na bodi ya Tanesco,je serikali inayoongozwa na CCM iliyoteua hiyo bodi legelege imechukuwa hatua gani?Ni nani aliyekwisha wajibishwa kwa ' uzembe' huo unaolitia hasara Taifa?Ishu hapa siyo CCM! Tatizo ni utendaji mbovu wa mgt ya Tanesco! Hamna Mkurugenzi yeyote wa Tanesco anayeripot CCM! Wote wako chini ya Bodi!Tutenganishe haya mambo!