Umeme wakatika tena sehemu kubwa ya nchi?

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Wakati Mh. Waziri wa Nishati na madini akijinadi huko bungeni kwa "Miradi lukuki ya Umeme" hivi sasa nchi nzima ipo "gizani kutokana na kuchomoka kwa gridi ya taifa. Mwendelezo wa makali ya mgawo wa giza!
 
aaaaaah! kweli lakin? au? kama kweli basi hawawabunge wana tufanya watanzania midoli yao, uchumi wetu haukui kwasabab ya vitu hiv hiv vya kijinga jinga kuwaangalia kama hatuwaon then kifuatacho sasa ajiuzulu au afukuzwe kazi,,,,,,hiz dharau na uzembe....
 
Poleni Jamani!Mie nipo Kilabuni nawaburudisha wanakijiji wenzangu na Umeme wangu wa betri ya gari!
 
Kuchomoka kwa gridi ya taifa kivipi?jidadavue basi usije kwa kukurupuka na je umefanya reseach kweli na kugundua muda huu nchi nzima haina umeme?usije kiporojo zaidi njoo kwa fact mkubwa.
 
naunga mkono hoja, hziz taarifa zinaelekea kuwa za ukweli..nishaulizia mikoa kama 12 sasa nna watu nawafahamu kote wanasema umeme umekatika tena kama dk chache zilizopita. ccm oyee!
 
mimi nimesikia mlio hapa dar nadhani kuna ukweli fulani nilizani labda ni Transformer imelipuka. Ila hapa nilipo umeme onge mabero tangu saa kumi na mbili asubuhi.
 
Leo ni siku ya tatu kahama haina umeme kwa mchana ila usiku unakuwa unawaka.
 
Back
Top Bottom