- Thread starter
- #61
mbona hapa nilipo kuna umeme?
QUOTE]
Join Date : 12th August 2010
Location : ISRAEL
Posts : 3,719
Rep Power : 29
mbona hapa nilipo kuna umeme?
QUOTE]
Join Date : 12th August 2010
Location : ISRAEL
Posts : 3,719
Rep Power : 29
Vipi Mkeshaji umezima wewe mwenyewe?
Ww acha uwongo mtwara umeme haujakatka wiki sasa, na huo mgao ni kwamba upo mwenye hayo ma'jiji, Mtwara wanatumia kitu cha gesi
mtwara hawatumii gridi yetu na weweWw acha uwongo mtwara umeme haujakatka wiki sasa, na huo mgao ni kwamba upo mwenye hayo ma'jiji, Mtwara wanatumia kitu cha gesi
Poleni jamani niko China nilitania but wakati nasema na Arusha umeme ulikatika nikapoteza mawasiliano ndiyo nikapewa sms kwamba umeme hakuna .I am sorry for my bad joke .
hiyo china ni kilabu cha pombe za kienyeji nini?Poleni jamani niko China nilitania but wakati nasema na Arusha umeme ulikatika nikapoteza mawasiliano ndiyo nikapewa sms kwamba umeme hakuna .I am sorry for my bad joke .
Nimewasilia na mtu muda mfupi kutoka dodoma amasema umeme upo so inawezekana ni sehemu kubwa ya tz na siyo yote.magamba yatoke jamani yanakera.
kweli kabisa slaveKahama pia ipo gizani.
Ilikuwa ni nchi nzima (gridi). Huyo wa dodoma atakuwa ameona umeme wa diesel generator.
Inasemekana Tanesco wanajitahidi kurudisha lakini umeme unaokuja ni mkubwa kuliko vipimo vinavyotakiwa (overvoltage). Huu ni hatari, unaweza kuunguza hadi nyumba.
Labda we uko Arusha nyingine lakini sehemu kubwa ya Arusha toka asubuhi hakuna UmemeArusha yote umeme upo!
siyo kweli niko mtwara na hakuna mgawo ?huku kwani huku ni
kampuni ya power light na siyo tanesco huku na lindi mgawo
hakuna ni gessi tu na cha ajabu naambiwa kuna vinu 7 vya
gesi ya atmas ipo vipo tu avitumike umeme unaotumika hapa
ni robo tu ya kinu kimoja kama vyote saba vikitumika umeme unaweza
kutosha kenya ,uganda ,rwanda,burundi tanzania na bado ukabaki
nikauliza sasa tatizo nini nikaambiwa wakumbwa hawataki kwani wana
maslahi makubwa kwenye iptl ,na dowans hivyo kuruhusu ni kuuwa dilii
yao kidumu cha chamapinduzi