Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingizwa kwa grid ya Taifa, sasa mbona umeme ndiyo unazidi kukatika?
Naomba ufafanizi wa kina na wa kiufundi tatizo lipo wapi? yaani ukiongeza umeme maana yake kwa akili ya kawaida ni kwamba makali ya mgawo yanatakiwa yapungue sasa mbona hilo halipo au mimi ndiyo sielewi?