Ulikutana wapi na mwandani wako?

Mimi nilikutana naye ofisini kwake. nilienda kufanya interview ya kazi, yeye alikuwa kwenye panel ya interview. kazi akaninyima, baada ya muda akanitafuta kwa masuala mengine

Wow i like this; "maswala" ni nyie kuwa pamoja ? hebu dadavua!
 
Mimi nilikutana naye ofisini kwake. nilienda kufanya interview ya kazi, yeye alikuwa kwenye panel ya interview. kazi akaninyima, baada ya muda akanitafuta kwa masuala mengine

Ha ha ha ha ha naona aliona ingekuwa kasheshe kukupa kazi pale pale na yeye alikuwa ameshakuzimia hivyo akaamua kukunyima....au ulienda kwenye interview ya uchumba....LOL! I am just joking :)
 
Nilikutana naye chuoni na akanizalisha na najuuta kumfahamu now i am single and still looking.

Usijuuuuuute kumfahamu jamani...si mlijaliwa mtoto ambaye wote mnapenda na mlipompata mapenzi yalikuwa moto moto.
 
mimi nilikutana naye church...!!!
Tulikuwa tunasali naye kanisa moja na yeye akiwa muimbaji wa kwaya ya vijana ya hapo kanisani kwetu
wakati huo mimi nipo form one yeye std seven

Kha!

We njuka mbona ulianza mapema namna hii; tena kwenye nyumba ya ibada!
 
si unajua tena uswazi mambo ya kuangalia michezo, sasa mimi ndo nilikuwa na TV kwenye hiyo nyumba ya kupanga, basi mambo ya kina bishanga yakianza nilikuwa nawaachia gheto wakinadada kibao, mwisho wa siku mmoja akatwalia na wengine wakaachwa ni story ndefu yenye kuhitaji nafasi.

Yeah inaelekea mzee hukuitaji kwenda mbali kufanya sampling! I bet ulimtwaa baada ya kuwapa na hao wengine mtihani!
 
Mimi nilikutana nae kwenye gari la kwenda Arusha tulikaa sit 1 kwenye basi ndipo nilipojipatia mume ambaye naishi nae kwa sasa na mungu ametujalia mtoto 1
 
Mh mie nilikutana nae shule baada ya aliyekuwa demu wangu kumfumania na mshkaji wangu, yeye alikuwa rafiki yangu wa karibu. Basi tukaendelea na urafiki mwisho wa siku ukageuka uchumba. Hadi leo tumeshafunga pingu za ndoa na tumejaaliwa katoto kamoja. Niliwahi kumuuliza kwanini hakuwa yeye wa mwanzo alinambia nilikuwa bishoo sana kiasi alikuwa anajiona yeye alikuwa standard ya chini kwangu, Nikasikitika sana nimeacha ubishoo wote nimekuwa mchapakazi na mtunzaji wa ndoa kwani sikutegemea kuwa nitaozea kwake.
 
Mh mie nilikutana nae shule baada ya aliyekuwa demu wangu kumfumania na mshkaji wangu, yeye alikuwa rafiki yangu wa karibu.

EEh hebmbu rudia!

Hata hivyo hongera kwa kuhimili fumaniziz na unatuonyesha hapa kuwa kizuri kinaweza kupatikana katikati ya tatizo! Senksi
 
Nilikutana naye chuoni na akanizalisha na najuuta kumfahamu now i am single and still looking.

pole mnyalu hayo yote ni mapito ya maisha mwenyezi mungu atakupa wako atakaekupenda na kukuthamini uwe katika kuamini
 
nilikutana nae home kwetu my mom used to be her friend so we used to play together while our moms were making stories. One day in when i was in std 6 her mom was travelling and she asked my mom to look over her girl (my current wife) so mama akasema leo ..... atakuja kukaa for a week, hehehhee my heart jumped we did nothing than play cards and stories but something kept growing. Another clicking instance was those days when getting a dawati la kukaa primary school was an issue, so every morning i used to make sure i look for her a dawati to sit (nilikuwa 4 classes mbele yake) I dont know how love grew but i felt some responsibity to take care of her tangu enzi hizoooo. So to cut the story short, mama ake alikuwa tooo relogious so she went to seminary schools till F.6 but i kept waiting, when she joined UDSM nikamtamkia waaaaazi and we started dating officialyy, i married her when she was in 3rd year kuogopa kunyakuliwa and guess what she was still pure and genuineeee. I believe some couples are made in heaven, when i look at our photos when we were young it just makes me love her more. we are happily married with twins (boy +girl) And our moms are still the best of friends.
 
Mdada tuliyesoma nae A-level alimleta katika group letu tukiwa Chuo,Shule ikawa shule toka 2005 ndo nipo mbioni kujimuvujishia ndani..
 
Kuna jamaa yangu amefunga ndoa ijumaa wiki iliyopita, huyu amemuoa mwanamke ambaye wamekuwa pamoja, tena toka enzi zile wakiwa wadogo sana wazazi wao wakiwatania kwa kuwaita 'mkwe', wakaja wakasoma shule moja ya primary then wakapoteana toka walipoanza secondary hadi kuja kukutana Chuo kikuu tena wote wakifanya Masters.,ndoa ile ilinifurahisha sana kwa kweli.
 
tulikutana facebook, he poked me, i poked him, he requested me as a frend, i accepted, then wall 2 wall, inbox 2 inbox, online chat, then changing relationship status, ndio kama ifuatavyo
 
Nilikuwa kasichana kadogo tu form one nimehamia mtaa huo yeye ndio kamaliza chuo kikuu akaanza kunitania mchumba kufika form three mchezo, nilipomaliza tu form four kanioa then nikaendelea na shule mpaka leo niko nae na watoto tunao. Nampenda sana
 
nilikutana nae home kwetu my mom used to be her friend so we used to play together while our moms were making stories. One day in when i was in std 6 her mom was travelling and she asked my mom to look over her girl (my current wife) so mama akasema leo ..... atakuja kukaa for a week, hehehhee my heart jumped we did nothing than play cards and stories but something kept growing. Another clicking instance was those days when getting a dawati la kukaa primary school was an issue, so every morning i used to make sure i look for her a dawati to sit (nilikuwa 4 classes mbele yake) I dont know how love grew but i felt some responsibity to take care of her tangu enzi hizoooo. So to cut the story short, mama ake alikuwa tooo relogious so she went to seminary schools till F.6 but i kept waiting, when she joined UDSM nikamtamkia waaaaazi and we started dating officialyy, i married her when she was in 3rd year kuogopa kunyakuliwa and guess what she was still pure and genuineeee. I believe some couples are made in heaven, when i look at our photos when we were young it just makes me love her more. we are happily married with twins (boy +girl) And our moms are still the best of friends.
Nimeipenda na ina mwelekeo na story yangu kabisa
 
Back
Top Bottom