Ulikutana wapi na mwandani wako?

Je, alikuwa na uzoefu kwa kiasi gani?

Mimi nilikutana naye mbali kidogo, lakini tulipata kusoma shule zilizombali kidogo. Hivyo ilinichukua muda bila kumwona tena, na mara tulipokutana tena, ghafla kila mmoja anmwaga machozi, na kuanzia hapo ni hadi leo.

Mhhh! Watu wa Hollywood wanaweza kuitengenezea movie hii. Hongereni.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=19rC-Fl-KwM&feature=PlayList&p=18F66D28B8E23E65&playnext=1&playnext_from=PL&index=5[/ame]
 
Nilikutana naye chuoni na akanizalisha na najuuta kumfahamu now i am single and still looking.
 
tulikuwa tunasali kanisa moja,tukaanza kuzoeana,nilipoenda xul nairobi yy alikuwa anasoma mbeya akanishawishi nihamie huko,so nikahama frm nai to mbeya,in 2002,till tu date tupo pamoja.
 
tulikuwa tunasali kanisa moja,tukaanza kuzoeana,nilipoenda xul nairobi yy alikuwa anasoma mbeya akanishawishi nihamie huko,so nikahama frm nai to mbeya,in 2002,till tu date tupo pamoja.

so ukumaliza shule ukahamia mbeya
 
not sikumaliza xul,nilienda mbeya nikiwa form 2 n yy fom 5,now tuko dar kule tulikuwa tunasoma tu,tumerudi dar,yy alikuwa kanizidi kidato,so akaanza chuo kabla ya mm,n nilipomaliza nikajoin chuo pia,now we are all working in different companies.
so ukumaliza shule ukahamia mbeya
 
not sikumaliza xul,nilienda mbeya nikiwa form 2 n yy fom 5,now tuko dar kule tulikuwa tunasoma tu,tumerudi dar,yy alikuwa kanizidi kidato,so akaanza chuo kabla ya mm,n nilipomaliza nikajoin chuo pia,now we are all working in different companies.
\

gud nimekuelewa bigup
 
First time nilikutana nae pale "MRINA BAR" - Arusha, akanilezea kuwa maskani kwao Moro,.....nikachua namba ya simu yake baada ya kumalizana...Kama mwezi hivi, nikiwa kikazi Moro, nikakutana nae tena "KAUMBA NIGHT CLUB" . Siku zikasongea kama miezi sita hivi, akanipigiana kunieleza yupo mitaa ya "SEWA PUB" Buguruni ndio alikuwa ameingia kutokea "KILI TIME" sinza...na hiyo ndio siku ambayo nilitangaza kumchukua jumla ili awe mamsapu kwa kuwa niliona ni mwanamke anayeendana nami na milimwonea huruma kwa mahangaiko yake!.

Mkubwa hizo sehemu ulizotaja ni hatari tupu, wenzio huwa hawapendi wajulikane kama hata wanazifahamu, achilia mbali kusogea karibu nazo!
 
si unajua tena uswazi mambo ya kuangalia michezo, sasa mimi ndo nilikuwa na TV kwenye hiyo nyumba ya kupanga, basi mambo ya kina bishanga yakianza nilikuwa nawaachia gheto wakinadada kibao, mwisho wa siku mmoja akatwalia na wengine wakaachwa ni story ndefu yenye kuhitaji nafasi.
 
Mie sijaoa lakini nimewahi kupata girlfriend pasipo kutarajia wala kunuia. Yaani alikuja ghetto la jirani kumletea kadi ya pongezi kaka mmoja ambaye alidai wanatokea wote huko Nyamuswa. Braza mwenyewe siku hiyo hakuwepo, kwa hiyo demu akamsubiria pale kwangu, nikamletea soda tukangoja weeeee, kaka hakuja. Ilipofika jioni nikamsindikiza kupanda daladala. Akaniachia ile kadi nikamkabidhi mwenyewe. Kumbe katika muda ule mambo tuliyoongea yalitosha kabisa kutuunganisha, baadae akaendelea kuja kwangu, hadi ishu ya kumegana ikawa routine!
 
mimi nilikutana naye in my first job, na yeye ilikuwa his first job.. i thank God todate for this man i call my husband...8 years on we still cherish that place...eeh mgodi wa dhahabu wa bulyanhulu wakati unaanzishwa.

hongera
 
Mimi nilikutana naye ofisini kwake. nilienda kufanya interview ya kazi, yeye alikuwa kwenye panel ya interview. kazi akaninyima, baada ya muda akanitafuta kwa masuala mengine
 
Mimi nilikutana naye ofisini kwake. nilienda kufanya interview ya kazi, yeye alikuwa kwenye panel ya interview. kazi akaninyima, baada ya muda akanitafuta kwa masuala mengine

Shukuru Mungu lakini ulipata hiyo kazi nyingine.
 
Ni kweli namshukuru Mungu kwa hiyo kazi, maana nimeshaifanya kwa 12 years sasa, na watoto 3. labda hii kazi ndo niliyoitiwa kwenye interview, ha haaaaaaaaaa

Yeah that's great, na inawezekana alichangia kwa kiasi kikubwa wewe kukosa ile ajira, nadhani aliangalia mbali akajua kuwa siku moja unaweza kuwa mwenzi wake kwahiyo mkiwa ofisi moja kazi hazitaenda.
 
Mimi nilikutana naye hm kwa sista wangu,yeye alikuwa hausigeli,zile kazi za hm ndizo zilituunganisha na hadi leo tupo pamoja!
 
Back
Top Bottom