M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Kila mtu ana kumbukumbu ya mahali au mazingira yaliyomkutanisha na mwandani/honey/mahabuba/mpenzi n.k wake wa sasa., mfano mie nakumbuka kilichotuunganisha ni "madesa" kwa wale waliopitia mazingira ya UDSM watakuwa wanaelewa vizuri hili, nilibahatika kuwa na madesa mengi kiasi basi huyu mpz wangu akatengeneza ukaribu na mimi ili nae aweze kubenefit kwa njia hiyo..basi madesa yakawa madesa mpaka uchumba na hadi sasa tupo pamoja.
Hebu wadau na nyie mwageni xperiece zenu hapa jamvini tufurahike pamoja.,ni vizuri sana kukumbukia ya kale.
Hebu wadau na nyie mwageni xperiece zenu hapa jamvini tufurahike pamoja.,ni vizuri sana kukumbukia ya kale.