Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
samvula chole thanks ,naomba weka link ya majina aliyoweka mswahili ya kule TRA
alimpa hiyo nafasi kwa vile ni mchagga au ni ndugu yake?"kamishina wa ushuru na forodha George Lauwo amempa kazi mdogo wake mr Lauwo "
Je alipewa nafasi hiyo kwa vile ni mchagga au kwa vile ni ndugu ya mama Mkapa? Kama kilichoangaliwa ni uchagga kwa nini wasimpe Dr. Minja ambaye anaqualification kama za dr. Maro?chukulia mfano daktari wa mkapa alikuwa dr.Maro mchagga na ni ndugu wa mama Mkapa
Je alipewa nafasi hiyo kwa vile ni mchagga au kwa sababu ni ndugu ya mama Mkapa? mbona wapo wapiga picha wengi tu kama Mroki Mroki?mpiga picha wa Mkapa na sasa Rais Kikwete ni mchagga na ndugu wa mama mkapa freddy Maro
Je Kittlya alipewa nafasi hiyo kwa vile ni Mchagga au kwa vile anafahamiana na vigogo wengine wa serikali akiwemo Mramba? Mbona hawakumpa nafasi hiyo Tarimo ambaye ingawa ni mfanyabiashara mkubwa lakini hafahamiani sana na Vingunge?TRA GENERAL COMMISSIONER ni Kittlya Harry huyu ni mchagga na ndio mkuu wa TRA NI mchagga aliyebebwa na Mramba basil mchagga mwenzake.
Je, hawa wote, (i) hawana elimu inayowafanya wastahili nafasi hizo? (ii) wanafahamiana na nani? (iii)nioneshei kuwa watu hawa wote walirushwa nafasi hizo yaani hawakuanzia chini na hivyo waliwapita watu wa makabila na mengine na kupewa nafasi hizonakupa zaidi RRO wa airport alikuwa Kimaro ambaye ni mchagga,
RRO long room alikuwa sabuni nae kilimanjaro, ukienda officer in charge majahazi alikuwepo Lyimo nae mchagga akaja Mushi nae mchagga, na ukienda RRO BANDARINI alikuwepo mzee Maleko mchagga bandari iko chini yake kabla yake alikuwepo Foyi nae mchagga,RRO wharf alikuwepo Kisaka mchagga ambaye sasa ni deputy commissioner,hawa ndio watendaji wanaopitisha ushuru.
Human resource & adminstration yupo mtu wa kilimanjaro hapo ajira haendi kwingine. halafu fuatilia watendaji wa chini ya hawa policy makers.
fuatilia RRO/MANAGERS, fuatilia officers in charges wa long room(Dar),na boarders, then utapata jibu vipi kilimanjaro walivyothibiti idara hii nyeti.
nakupa zaidi RRO wa airport alikuwa Kimaro ambaye ni mchagga,
RRO long room alikuwa sabuni nae kilimanjaro, ukienda officer in charge majahazi alikuwepo Lyimo nae mchagga akaja Mushi nae mchagga, na ukienda RRO BANDARINI alikuwepo mzee Maleko mchagga bandari iko chini yake kabla yake alikuwepo Foyi nae mchagga,RRO wharf alikuwepo Kisaka mchagga ambaye sasa ni deputy commissioner,hawa ndio watendaji wanaopitisha ushuru.
na documents zote za bandari Dar lazima zinapitia kwa head declaration officer(HDO) MR. MCHIRA huyu nae kilimanjaro,
officer in charge wa container terminal bandari dar,ni mr. steven mchagga,
officer in charge border ya Tunduma ni mr, Niko ni mchagga na ukienda border ya Namanga kuna mr. Mosi nae mchagga,