Makabila makubwa yakishika uongozi hujazana wao, bora nafasi za juu wapewe makabila madogo

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la.

Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana?Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma?

Miaka ya leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo?

Sasa tuje kwa makabila yanayojificha kwenye kivuli kwamba wamesoma. Mfano ofisini kiongozi akiwa ni Mchaga wanajazana Wachaga, tukitumia kigezo cha elimu ni kwamba hata hao wengine Wahaya, Wanyakyusa na Wasukuma hawawekwi kwa kuwa hawajasoma au ni ukabila?

Ofisini akiwa Mhaya ni Kiongozi makabila yote mengine hadi hao wengine wasomi unawatafuta kwa tochi, ni kwamba hawana elimu au?

Nadhani kuna shida ya ukabila ambayo haisemwi wazi ila ipo shida ya ukabila na udini nchi hii.

Kwamba unaajiri watu wa usafi wakabila lako mpaka walinzi kwasababu wamesoma mbona hoja inakataa kabisa, zaidi ya ukabila hakuna lingine hapo.

Kuna tasisi mpaka za serikali akiingia mojawapo katika hayo makabila basi unakuta wanaanza kujazana wao kwa wao, kupandishana vyeo, kupeana mikopo, n.k.
 
Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la.

Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana? Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma ?

Miaka ya Leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo ?

Sasa tuje kwa makabila hayo yanayojificha kwenye kivuli kwamba wamesoma. mfano ofisini kiongozi akiwa ni mchaga wanajazana wachaga, tukitumia kigezo cha elimu ni kwamba hata hao wengine wahaya, wanyakyusa na wasukuma hawawekwi kwa kuwa hawajasoma au ni ukabila?

Ofisini akiwa mhaya ni Kiongozi makabila yote mengine Hadi hao wengine wasomi unawatafuta kwa tochi, ni kwamba hawana elimu au?

Huwajui Wakwere na watu wa Pwani
 
Wakurya umewasahau
kama ni kwa kigezo cha jeshini wala hawabebani

Kumbuka vita ya Kagera zilitangazwa nafasi za kujiunga jeshini kwenda kupigana na Idi Amini lakini watu walikuwa wanaogopa kwenda vitani, mkoa wa Mara ndio walikuwa na usongo wa kuingia jeshini hata nafasi walizowekewa zilikuwa chache sana kwaom wengine walianza kwenda hata mikoa mingine ili wapate urahisi kwa kuhaza nafasi zilizo wazi,
 
kama ni kwa kigezo cha jeshini wala hawabebani

Kumbuka vita ya Kagera zilitangazwa nafasi za kujiunga jeshini lakini watu walikuwa wanaogopa kwenda vitani, mkoa wa Mara ndio walikuwa na usongo wa kuingia jeshini hata nafasi walizowekewa zilikuwa chache sana kwao
mpaka leo wamejazana kwa sababu ya hiyo vita usajili unapopita
 
Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la.

Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana? Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma ?

Miaka ya Leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo?

Sasa tuje kwa makabila hayo yanayojificha kwenye kivuli kwamba wamesoma. mfano ofisini kiongozi akiwa ni mchaga wanajazana wachaga, tukitumia kigezo cha elimu ni kwamba hata hao wengine wahaya, wanyakyusa na wasukuma hawawekwi kwa kuwa hawajasoma au ni ukabila?

Ofisini akiwa mhaya ni Kiongozi makabila yote mengine Hadi hao wengine wasomi unawatafuta kwa tochi, ni kwamba hawana elimu au?

Nadhani kuna shida ya ukabila ambayo haisemwi wazi ila ipo shida ya ukabila na udini nchi hii.

Kwamba unaajiri watu wa usafi wakabila lako mpaka walinzi kwasababu wamesoma mbona hoja inakataa kabisa, zaidi ya ukabila hakuna lingine hapo.

Kuna tasisi mpaka za serikali akiingia mojawapo katika hayo makabila basi unakuta wanaanza kujazana wao kwa wao, kupandishana vyeo, kupeana mikopo, n.k.
Ondoa kabisa wasukuma! Hawana ukabila, ni utendaji wako tu na tena hawana upendeleo. Cheki hata kuoa, wangekuwa kama wachaga au wahaya au wanyakyusa wasingeoa wachaga au kabila hizo kama wahaya
 
Kwa kias flan kwenye vyombo nyeti kuweka watu kwa uwiano lakin ukweli mchungu ni kuwa taifa linataka kutoka lazima watu wawekwe watu maalumu sehem zile zote muhim hili halihitaji elimu ni uwezo binafs au nature. Ngoja niishie hapo.
 
Ondoa kabisa wasukuma! Hawana ukabila, ni utendaji wako tu na tena hawana upendeleo. Cheki hata kuoa, wangekuwa kama wachaga au wahaya au wanyakyusa wasingeoa wachaga au kabila hizo kama wahaya
Labda wasukuma nisiowajua.
 
Ondoa kabisa wasukuma! Hawana ukabila, ni utendaji wako tu na tena hawana upendeleo. Cheki hata kuoa, wangekuwa kama wachaga au wahaya au wanyakyusa wasingeoa wachaga au kabila hizo kama wahaya
Tusiende mbali sana rejea tu enzi za awamu iliyopita
 
Hoja ya ukabila haihusiani na kwamba wangapi wamesoma au la.

Kwanini ofisi ikiwa na viongozi labda wangoni au wahehe tusikute wahehe au wangoni wamejazana? Ni kwamba hakuna wahehe au wangoni waliosoma ?

Miaka ya Leo uniambie kuna kabila halina wasomi waliokosa ajira, lipo hilo ?

Sasa tuje kwa makabila hayo yanayojificha kwenye kivuli kwamba wamesoma. mfano ofisini kiongozi akiwa ni mchaga wanajazana wachaga, tukitumia kigezo cha elimu ni kwamba hata hao wengine wahaya, wanyakyusa na wasukuma hawawekwi kwa kuwa hawajasoma au ni ukabila?

Ofisini akiwa mhaya ni Kiongozi makabila yote mengine Hadi hao wengine wasomi unawatafuta kwa tochi, ni kwamba hawana elimu au?

Nadhani kuna shida ya ukabila ambayo haisemwi wazi ila ipo shida ya ukabila na udini nchi hii.

Kwamba unaajiri watu wa usafi wakabila lako mpaka walinzi kwasababu wamesoma mbona hoja inakataa kabisa, zaidi ya ukabila hakuna lingine hapo.

Kuna tasisi mpaka za serikali akiingia mojawapo katika hayo makabila basi unakuta wanaanza kujazana wao kwa wao, kupandishana vyeo, kupeana mikopo, n.k.
Sisi wachaga ndio tumechangia sehemu kubwa kupatikana uhuru wa hii nchi, msituonee wivu!

Sisi ndio tunamiliki uchumi wa hii nchi.

Somesheni watoto wenu wawe kama sisi.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Tusiende mbali sana rejea tu enzi za Magu mkuuu wale watu wake wa karibu - Makonda, Pole Pole, Bashiru, mpaka mtu wa hazina aliweka msukuma yasemekana ndugu kabisa, Haikuitwa sukuma gang kwa bajati mbaya
Wewe ni lijinga na umejaa chuki. Polepole msukuma??? Bashiru msukuma???? Lete story zingine ila kumsingizia ukabila no tena big no. Labda wizara ya fedha aliweka hilo lijamaa lijinga lijinga li dotto hapo alikosea sana maana halikuwa na akili na lilikuwa mzigo yaani zero kabisa.
 
Udini na ukabila vimechukua kasi sana. Fanya analysis tu kwa mfano wa ajira za TRA hizi za karibuni utaelewa kama taifa tunapaswa kukemea baadhi ya mambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom