Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Ni kweli mkuu unazungusha round za kahawa na kashata Huku unahesabu zile shanga zenu ambazo wale dada zetu Wana ziabuse kwa kujifunga kiunoni na kuziita chachandu?Nipo nje ya sehemu wanapoabudu na vimini, navizia. Hujui leo juma ngapi?