Uhuru wa Tanganyika chimbuko lake ni waislamu

Samahani kama nimekugusa Mohamed Said, nawashauri ndugu zetu waislamu waache kulalamika. Chukueni hatua za kuwakomboa vijana.

Muungwana yeyote akisikia matusi atafanya haya, aidha ataondoka mahali pale au atamnasihi atukanae.

Sijui kuguswa umekusudia nini.

Mimi nimekunasihi uwe na adabu sikutaka kuondoka.
Ndiyo maana sasa nakunasihi tena.

Taka radhi tu na tuendelee mbele.
 
Muungwana yeyote akisikia matusi atafanya haya, aidha ataondoka mahali pale au atamnasihi atukanae.

Sijui kuguswa umekusudia nini.

Mimi nimekunasihi uwe na adabu sikutaka kuondoka.
Ndiyo maana sasa nakunasihi tena.

Taka radhi tu na tuendelee mbele.

Mkuu nimekugusa kama na wewe ni muungwana wa pande ile!
Ujumbe wako ni wa maana, tatizo lako unakurupuka! Kusema Waislamu wanapoteza muda mwingi kwenye kula kashata na kupiga ukuda haihitaji kuwa na adhabu! kutokusema ukweli ndiyo kukosa adhabu!
chukueni hatua wasaidieni watoto wakasome shule badala ya kupoteza muda mwingi kwenye madrasa na elimu dunia!
Mkiambiwa ukweli mnaona aibu!
Ukweli utabaki kuwa ukweli Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom