Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,619
Hahaha....upigane dhidi ya ukristo wa ujerumani????!!!! Hata Nzi hawezi kuwaza huo upuuzi! Unapigana na ukristo?! Nani aliwahi kufanikiwa kwenye vita aina hiyo?Akina Hussein Makunganya walipigana kufa na kupona kuhakikisha wanalinda uislamu dhidi ya ukristo wa ujerumani.