Uhuru wa Tanganyika chimbuko lake ni waislamu

Anasema wailamu tuko wengi Tanzania, lakini takwimu iliyotolewa na majuzi inaonyesha waislamu ni 32%. Anasema tunahaki ya kuwa wengi serikalini kwasababu tupo wengi

Kuwa wengi sio ndo wajazane tu hata kama hawana uwezo wa kazi tajwa..wasiwe wanafikiria juu juu...
 
hebu taja waanzilish 14 wa taa then utapata jibu..

Mwaka wa 1929 Kleist na baadhi ya rafiki zake wa karibu kama Mzee bin Sudi, ambaye wazazi wake walikuwa Wamanyema kutoka Belgian Congo, Ibrahim Hamis - Mnubi ambaye baba yake alitoka Daffur nchini Sudan, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima - Mzaramo, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts na Cecil Matola - Myao kutoka Masasi walianzisha African Association, Kleist akiwa katibu muasisi. Wakati ule Gavana wa Tanganyika alikuwa Sir Donald Cameron ambae alitawala Tanganyika kuanzia mwaka wa 1925 ñ 1929. Cameron alikuwa gavana mliberali na alikuwa akifahamiana na Kleist. Cameron ndiye aliyeanzisha Baraza la Kutunga Sheria la kwanza na mfumo wa Indirect Rule katika Tanganyika. Msimamo wake huu ndiyo hasa uliochangia katika kuwezesha kunzishwa kwa African Association.

Lakini juu ya haya yote, chama hiki kiliaswa kisijiingize kabisa katika siasa. Wakati chama hiki kinaanza tayari kulikuwepo na chama cha Wazungu na Waasia. Lakini katika Baraza la Kutunga Sheria Waafrika walikuwa wakiwakilishwa na padri wa Kikatoliki, Father Gibbons, ambae hakuwa hata anaishi na Waafrika bali akikaa Minaki Misheni nje ya Dar es Salaam. Abdulwahid anakumbuka baba yake akimwambia sababu ya kuanzishwa kwa African Association:


“Wakati ule vilikuwepo vyama viwili. Kilikuwapo European Association na Indian Association. Vyote viwili vilishugulika na watu wao wenyewe. Lakini Waafrika hawakuwa na chama kama hicho kuwatetea. Katika Baraza la Kutunga Sheria Waafrika waliwakilishwa na mmishionari Mzungu jina lake Father Gibbons, aliyekuwa akifanya kazi Misheni ya Minaki maili kadhaa nje ya Dar es Salaam. Lakini kwa hakika mzungu huyu hakuwa na uhusiano wowote na Waafrika aliokuwa akiwawakilisha. Kwa ajili hii Waafrika walipohisi hawawakilishwi na hawana chama kama kile cha Wazungu na Waasia kutafuta haki zao, walikutana na kuamua kuunda chama chao wenyewe.”

Kuanzishwa kwa African Association nje ya utaratibu uliokuwapo wa kuwa na vyama vya kidini na kikabila kilikuwa kitu dhidi ya mfumo uliozoeleka na uliojengeka katika utawala wa kikoloni. Ingawaje chama hicho kilikuwa kinaungwa mkono na Gavana Donald Cameroon na kikasajiliwa kama chama cha ustawi wa jamii, wamishionari waliwatahadharisha Wakristo wasijihusishe na chama: “Mara kwa mara Wakristo walikuwa wakitahadharishwa wasijihusishe na harakati zozote zitakazopingana na serikali.” Katika kuwatadharisha Wakristo wasijihusishe na siasa, wamishionari walikuwa wana yakini labda kutokana na uzoefu wao sehemu nyingine kuwa, vyama kama hivi vya ustawi wa jamii hatimae huwakilisha madai ya watu, hili likitokea basi watu huasi dhidi ya utawala.

*Inatoka katika kitabu "Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924 1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika." Kitabu kinapatikana Tanzania Publishing House, Samora Avanue, Dar es Salaam.
 
Mi nafanya kazi maeneo karibu na ulipo Msikiti wa Bondeni. Huo mtaa una Waislam wengi tofauti na mitaa mingine ya katikati ya Mji wa Arusha. Kiukweli kabisa huu ni mtaa ambao una watu wengi ambao wana fikra finyu mno kiasi kwamba uwezo wao wa kuona mbele kifikra ni mdogo sana. Wengi wao hawajasoma na sidhani kama hata walishawahi kusafiri hata kidogo na kuona jinsi watu wa maeneo mengine wanavyoishi kwani hawana ustaarabu. Wengi wao ni watu wa Mirungi na Gahawa, Kugombea mali za urithi na kufunguliana mashtaka mahakamani badala ya kutafuta za kwao n.k. Aliyosema muanzisha thread hii ni ya kweli na hayajaanza leo tu. Nadhani wanaoujua huu mtaa na watu wake watakubaliana nami kuhusu hawa watu na tabia zao.
 
Miadhala yote ni ya kuchambua bibilia.je hiyo miadhala na huo mda ungekua unatumika kuchambua tufanyaje kuzuia elimu isiendelee kushuka.Tuisaidiaje serikali ili iweze kuwalipa madaktali na sekta nyingine ili wasigome na kuathili walala hoi ingekua vyema zaidi.
 
sijawahi kwenda kanisani nikasikia padre au mchungaji akizungumzia uislam kwa context kama hiyo, wasilalamike, wanaji lostisha wenyewe kwa kutangaza dini za wenzao badala ya hiyo ya kwao.

nimekutana na waislamu wa Ansa-lisuna, wanawashangaa waislamu wenzao wanapohubiri upotoshaji. Wanasema sensa haihusiani na dini, na katiba pia haihusiani na dini.
 
Kwanza kwanini tulipata uhuru mapema? tungepata miaka ya 1980's nahisi hali ingekuwa bora kidogo
 
nimekutana na waislamu wa Ansa-lisuna, wanawashangaa waislamu wenzao wanapohubiri upotoshaji. Wanasema sensa haihusiani na dini, na katiba pia haihusiani na dini.
Mungi wale wanaovaa pedo na kufuga ndevu nyingi sana na shanga mkononi ndio Ansa-lisuna?
 
Nawashangaa hawa hata wanae mwita mtume katika kitabu cha wakeze ukurasa wa 12 anekiri aliye mtokea na kumpa kitabu ni jini na ukiwaabgalia vizuri unawaona kuna pepo wanalo
 
Kuna Msikiti mmoja upo hapa kariakoo katikati wanauza kwa nje wanauza vichupa vidogo vya dawa vinaharufu Kali sana sijui ndio nini?
 
Back
Top Bottom