Uhakiki wa vyeti: Wengi watangaza kupotelewa vyeti vya elimu

Kuna mtu hapo ni PhD holder pia HoD kwenye school of Business.Japo akifundisha yuko vizuri sana,ila alikuwa wapi kutafuta hivyo vilivyopotea.Asante sana JPM kwa staili hii utadhibiti uzeme.Pole sana Drogba
 
Teh sipati picha mkuu wa shule, shule ya secondary nanii sahivi anavozunguka kwa waganga ili hili lisimkumbe, hajui hata kusoma vizuri ila ni mkuu wa shule na mshahara wake mkubwa kazidi ule wa degree
 
Au wanajiami vyeti vyao vilitumika na watu wengine wanawamwaga ndugu zao
 
Kutanganza kupotelewa cheti ni moja ya kigezo kupatiwa statement halali ya matokeo yako NECTA. Wanaotanganza kupotelewa na vyeti hawana tatizo wenye tatizo ni wale walioiba au kuchukua vyeti vyao wakavitumia sehemu nyingine
 
Wanaukumbi.

Baada ya tangazo la serikali kupitia upya vyeti vya waajiriwa serikalini na mashirika ya umma.

Sasa hivi kumezuka upotevu wa vyeti kila siku zaidi ya magazeti 10 yanatoa matangazo ya upotevu wa vyetu shule.

Kuna watu wengi sana serikalini walikuwa wanabebwa na kuambiwa wana elimu sasa cha kujiuliza hii kasi ya upotevu wa vyeti umetoka wapi.

20160722_114951.jpg


Source: Mwananchi 22 July. 2016
 
Wabunifu wa kufoji vyeti naona wako busy kubuni njia za kujinasua na mtego wa vyeti fake sasa,.....!
 
Hahaha kama wanadanganya watashikwa tuu maana itawalazimu warudi NACTE.
 
Naona mabingwa wa kufoji vyeti....wanapambana kufoji mbinu mpya za kujinasua na issue ya vyeti feki.
 
Back
Top Bottom