Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,335
- 3,902
watanzania wanapenda wenzao wapate shida na viongozi nao wameshajua wanachohitaji
Mkuu nadhani aliwaza kwa sauti juu ya sababu ya ongezeko la matukio ya kuporelewa na vyeti katika awamu hii tofauti na hali halisi ilivyokuwa ikisikika.kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake juu ya mtazamo wake juu ya hali hii.kwa maoni yako unasemajw juu ya hili? Na sio kukosoa mawazo ya watu kwani yeye ameshirikisha wana JF ikiwa ni sehemu ya kupata mtazamo wao juu ya hili.Tiririka na weweAna uhakika gani kama hao watu wametumia vyeti fake?
Mkikamatwa mkapelekwa mahakamani mnalalamika demokrasia inaminywa.
Mkuu wewe ni mjanja sana. Ulichokisema ndiyo ukweli wenyewe.Hamuna kitu hapo hiyo ni janja ya nyani tu, hao jamaa bwana kwa ninavyo amini ni wale waliokuwa wamegawa vyeti vyao kwa watu wengine,yaani walimpa mtu cheti ili apate kazi kwenye sekita nyingine wakati huo na wao wanafanya sekita nyingine.Kwa hiyo hayo matangazo ni mbinu za kujinasua endapo cheti kimoja kikigongana na mtu mwingine ili kikinuka waseme kwamba tulipotelewa na taarifa ipo polisi na tulisha toa hadi tangazo.Ni hayo tu.
Poleee mkuu.punguza jazbaAcha upuuzi mwehu wewe.
Vyeti feki havinaga namba?Inawezekana, uzuri namba za vyeti vyao zinajulikana, NECTA watatoa ushirikiano
Vyeti feki haviwezi kutambulika NECTA mkuuVyeti feki havinaga namba?