Uhakiki wa vyeti: Wengi watangaza kupotelewa vyeti vya elimu

Nasika hapo nyuma kuna majamaa yaliweza kuingilia hadi database ya necta na kuweka walichotaka, uzito wa mfuko ndicho kilikuwa kigezo kikubwa.
Logic rahisi katika hili ni kufanya huu mchujo alafu waliosalia kwenye system wachapichwe magazetini na mitandaoni ili kama mtu unajua kabisa ulisoma naye akalamba sifuri alafu kwenye ajira anaonekana ana cheti cha daraja la kwanza ndio tuwe 'polisi jamii' na tuhoji kwamba division one aliipata wapi ...tatizo hili haliwezi kufanyika, hivyo zoezi hili nalo litaishia kwenye mbao za matangazo na magazetini!
1477279933342.jpg

WENGI huenda wanataka kuweka ushahidi tu walipotelewa na vyeti.Kama wako kwenye ajira wachunguzwe vizuri huenda walivigawa kwa ndugu,jamaa,na rafiki.Muda wote walikuwa wapi mpaka uhakiki uje? Huko nyuma mtu angeweza kugawa cheti cha f4 kwa mtu mwingine akaajiriwe kwingine kwa kuwa yeye kaajiriwa na cha f6.Historia itaamua ukweli.
 
mimi naami kuwa waliojitokeza gazetini kunaukweli fulani kwan necta ndio wasema kweli lakini kuna wengi ambao wanaogopa hata kujitangaza gazetini WALIOPOTELEWA MUNGU AWASIMAMIE WOTE
 
Back
Top Bottom