WABONGO tunapeleka hella india kununua bajaji wakati tunao maprofesa wa uhandisi waliobobea. naamini ikitoka project ya kuunda kitu mithili ya bajaji itafanikiwa tu na inawezekana. kazi ilopo ni kuwapatia maprofesa wetu elimu nyingine ya kuamini kila kitu kinawezekana na mbongo pia anamudu.