ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 554
- 1,134
Habari Wakuu.
Ningependa kupata mwongozo kutoka kwa wazoefu wa Elimu ya juu. Hivi ikitokea mtu akawa ana muda wa kutosha na ana uwezo wa kumudu kufanya kozi mbili tofauti kwa ngazi ya shahada ya Uzamili ( Masters Degree) taratibu za TCU zinaruhusu hilo jambo kutokea?
Kwa Mfano; Mtu awe anasoma Masters ya Public Administration hapo Mzumbe na pia awe anafanya Masters ya Information Security katika Chuo kingine kama vile UDSM?
Naomba kuwasilisha kwa mwongozo tafadhali