Changamoto ya kujifunza UDSM

Sep 27, 2023
7
23
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa,
Namba yangu ya usajili 2021-04-01016.
UDSM tunafundishwa kwa namna 2, lectures za Darasani na seminar presentation,
Kwenye seminar presentation ndiyo sehemu pekee ya ufundishaji ambayo wanafunzi tunaruhusiwa kutoa mawazo, kuuliza maswali na kutetea hoja zetu.
Kuna baadhi ya seminar leaders kutoka department ya utawala wa umma na sayansi ya siasa na department ya historia hawatutendei haki katika seminar presentation,
Tunapouliza maswali,kujenga na kutetea hoja zetu tunapokea majibu ya udhalilishaji na kukatisha tamaa mfano muongo, huna hoja nk pasina kuuliza chanzo cha taarifa tulichotumia au kuturekebisha kwa njia ya kistaarabu,
Na hivyo kutufanya baadhi ya wanafunzi kushindwa kuuliza maswali, Kuhoji au kutetea hoja kwa hofu ya kukosolewa na seminar leaders ,
Hili tatizo limekuwa sugu na hatuoni dalili za hao seminar leaders kubadilika hasa katika hizo department 2 nilizozitaja hapo juu,
Tunashindwa kutoa taarifa kwa mamlaka kwa kuwa kama seminar leader hatochukuliwa hatua tatizo linabaki kwa mwanafunzi maana seminar presentation zina alama 15 na seminar leader ndiyo mwenye maamuzi ya kukupa ngapi kati ya hizo,
Baadhi ya wanafunzi tunajifunza vyema kupitia mijadala, kuuliza maswali ,Kuhoji na kudadisi mambo lakini baadhi ya seminar leaders kutoka kwenye hizo department wanatunyima haki yetu ya kujifunza kwa kauli zao za kukatisha tamaa.
Naomba tusaidie kusambaza ujumbe wetu ,ufike wizara ya elimu ili kero hii itatuliwe.
Ahsante
 
Attachments

  • VID_20240127_093144.mp4
    5.8 MB

Duu umejilipua... nikushauri tu huku mtandaoni usipende kujilipua sana hasa ukiwa bado unasoma. Hao jamaa wanaweza kukufanya shule ukaiona mbaya. Hiyo department haikuwai kuwa rahisi hata kidogo tangu enzi na enzi. Wakati nasoma ps dr bashiru ally ndo alikua mmoja wa masemina leaders. Unaweza waza unoko wake ulikua levo ipi... kulikua na dr muya... ila tulimaliza fresh na maisha yakaendelea.
 
Mleta mada nadhani atakuwa Maswali anauliza pengine hayana takwimu ndio maana kumwita muongo nk Mfano anaweza
Sema CCM iko madarakani tangu uhuru na haijafanya kitu hapo Lazima aambiwe muongo kaa chini sababu anapotezea watu muda sababu CCM kwanza haiko Toka Uhuru ilizaliwa 1977
 
Umejilipuwa mzee hadi kitambulisho umeweka. Alafu kumbe vitambulisho vilibadilika tena. Vitambulisho vilikuwa vina chip kama laini ya simu baada ya mgomo mwaka fulani chuo kilifungwa wanafunzi waliporudi walipewa vitambulisho vipya, Leo tena naona wamebadilisha. Haya bwana maafisa utumishi wenzio wanakusubiri huku halmashauri.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Harafu kuna, kenge anasema, hakuna maaana kumsomesha mtoto chuo Bora cha kulipia pesa ndeefu, eti hata vyuo vya kata vinafaa, sasa, hayo madudu ya, udsm, hapo ni kutoa wasomi "half cooked"
 
Mbona umeanika taarifa zako hivyo?
Suala lako nitaenda sambamba na kufatiliwa uraia wako kwanza.
 
Naona mmeshindwa kusoma between the lines
Na mmeshindwa kumuidentify mtoa mada ni watu wa kitengo gani
 
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa,
Namba yangu ya usajili 2021-04-01016.
UDSM tunafundishwa kwa namna 2, lectures za Darasani na seminar presentation,
Kwenye seminar presentation ndiyo sehemu pekee ya ufundishaji ambayo wanafunzi tunaruhusiwa kutoa mawazo, kuuliza maswali na kutetea hoja zetu.
Kuna baadhi ya seminar leaders kutoka department ya utawala wa umma na sayansi ya siasa na department ya historia hawatutendei haki katika seminar presentation,
Tunapouliza maswali,kujenga na kutetea hoja zetu tunapokea majibu ya udhalilishaji na kukatisha tamaa mfano muongo, huna hoja nk pasina kuuliza chanzo cha taarifa tulichotumia au kuturekebisha kwa njia ya kistaarabu,
Na hivyo kutufanya baadhi ya wanafunzi kushindwa kuuliza maswali, Kuhoji au kutetea hoja kwa hofu ya kukosolewa na seminar leaders ,
Hili tatizo limekuwa sugu na hatuoni dalili za hao seminar leaders kubadilika hasa katika hizo department 2 nilizozitaja hapo juu,
Tunashindwa kutoa taarifa kwa mamlaka kwa kuwa kama seminar leader hatochukuliwa hatua tatizo linabaki kwa mwanafunzi maana seminar presentation zina alama 15 na seminar leader ndiyo mwenye maamuzi ya kukupa ngapi kati ya hizo,
Baadhi ya wanafunzi tunajifunza vyema kupitia mijadala, kuuliza maswali ,Kuhoji na kudadisi mambo lakini baadhi ya seminar leaders kutoka kwenye hizo department wanatunyima haki yetu ya kujifunza kwa kauli zao za kukatisha tamaa.
Naomba tusaidie kusambaza ujumbe wetu ,ufike wizara ya elimu ili kero hii itatuliwe.
Ahsante
ACHA woga mwambie ukweli huyo Seminar leader kama vipi mkataeni.Zotto anahusika?
 
Back
Top Bottom