Nna wasiwasi na uwezo wako wa kufiria!..
Punguza matusi ndg yangu! Huku kuna wakubwa zako, baba zako na mama zako!
Nna wasiwasi na uwezo wako wa kufiria!..
uwezo wangu wa kufikiri unapoanzia ndio wako unapoishia. Mnagoma goma kipumbavu na migomo isiyo na impact yoyote. wenzenu UDSM wakigoma wanagoma kwa hoja then impact ya migomo yao huwa ni kubwa na yenye tija kwa wanavyuo wote, nyie mnagoma upuuzi, eti MNATAKA KUONANA NA WAZIRI MKUU, NON SENSE!Nna wasiwasi na uwezo wako wa kufiria!..
Serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha dodoma imeridhia wanafunzi kuandamana kesho kuelekea bungeni kwa ajili ya kupinga hatua ya kunyimwa kwa mara nyingine fursa ya kufanya mafunzo kwa vitendo (Field) katika likizo inayotarajia kuanza soon.
ikumbukwe kwamba kuliwahi kutokea mgomo wa aina hii na mawaziri watatu wakakodi ndege hadi dodoma kwa ajili ya kusuluhisha, na kuahidi kuwa kuanzia sasa wale ambao walikuwa hawaendi field wataanza kwenda mwaka huu. lakini sasa muda umekaribia na uongozi wa chuo umewatangazia tena kwamba hakuna field. Sasa ndipo uongozi wa serikali umeamua wanafunzi wafanye maandamano kwenda bungeni kudai haki yao na kulalamika serikali kuwapa ahadi ya uongo.
kwani wakiwa dom isue za kielimu huwa wanaziriport bungeni? na nihatua gani viongozi wao walisha zifanya za kuonana na waziri kiasi kwamba waende bungeni.
Field hata wakienda huwa waliowengi wala haziwasaidii ila tu wanajitakia pesa. Mimi ofisini kwangu aliwahi kuja mwanafunzi wa field nikamuuliza huko chuoni kwao ni mambo gani wanataka afundishwe ktk kipindi chake cha field akashindwa kujibu, toka siku hiyo nikagundua hii nyanja nayo inatakiwa ifanyiwe kazi, kwani bado ni kiini macho kinachopelekea upotevu mkubwa wa pesa.
Mwanafunzi anachukua pesa za field na huko field haendi na hata akienda hakuna anachojifunza.
Kwa mfano kozi zingine ni za kifedha ivi ni kampuni gani utaenda kufanya field waweze kukuruhusu kuingia kwenye system zao hali ya kuwa wewe si muajiliwa?
Nimesoma UDSM 4 years, nimegoma sana bt niligoma kwa hoja na nilifanikiwa. UDOM toka muanze migomo yenu mnayotofautiana kati ya college/school mmeishafanikisha upi?Wenzenu toka College of informatics and virtual science waligomea hili hili mwezi april mkawaacha wakafukuzwa wenyewe leo mnaleta hoja ya migomo yenu ya kipumbavu humu, sasa WAZIRI MKUU YUPO JAMIIFORUMS? Ooh tunaenda BUNGENI! Upuuzi, Wajinga ndio waliwao. Poleni sana!Kama una elimu ya chuo kikuu sidhani kama uliipata kwenye vyuo vyetu vya tanzania.
Udom niya washamba na malimbukeni, kutwa nzima kuzulula mjini. Hovyo!Mliwahi kusema hapa Udom ni ya Chadema sasa wakome kuvaa t-shirt za Chadema?
uwezo wangu wa kufikiri unapoanzia ndio wako unapoishia. Mnagoma goma kipumbavu na migomo isiyo na impact yoyote. wenzenu UDSM wakigoma wanagoma kwa hoja then impact ya migomo yao huwa ni kubwa na yenye tija kwa wanavyuo wote, nyie mnagoma upuuzi, eti MNATAKA KUONANA NA WAZIRI MKUU, NON SENSE!
NIMEKUELEWA VYEMA MKUU, HAPO MPO SAWA KABISA but kuna wenzenu hawaelewi, wanapost upupu!lengo si kwenda bungen mtoa maada lengo la wanafunzi ni kwenda kumuona bwa mkubwa pinda na mwenzake kawambwa ambao waliweka sahihi kwenye maazimio ya mnamo mwez desemba mwaka jana kuwa wanafunzi wote lazima waende field yaan mafunzo kwa vitendo. Hivyo wanaenda huko kumtaka mkubwa mizengo na mwenzake kawambwa kuthibitisha kwamba waliudanganya au la na kama walikuwa hawana hakika kwanin waliweka sahih katika maazimio waliyokubaliana. NB lengo c kuonana na wabunge naomba ileweke hivyo.
Napatwa na wasiwasi kama unaelewa unachokiongea! Au pengine ni elimu yako ndogo kuliko huyo uliyeletewa umfundishe.... Inawezekana hata wewe hujui unachokifanya ofisini kwako ndo maana ukataka kujulishwa cha kumfundisha huyo mwanafunzi. Au pia yawezekana huelewi maana ya Field practical.... Kwa kifupi, ni mafunzo ya kazi kwa vitendo hivyo ulitakiwa umwonyeshe na umfundishe unachokifanya wewe kila siku unapokuja ofisini kwako ili nae atakapomaliza chuo akafanye hivyo mahali atakapoajiriwa! Ni wazi kuwa mwanafunzi anapoletwa ofisini kwako kwa mafunzo ujue anasomea fani inayohusiana na kazi za ofisi yako. Kama hujui cha kumfundisha basi ni wazi kuwa hujui wajibu wako! Tafadhali kama inawezekana jiondoe mapema kabla hujaondolewa....... Unaona uchungu akipewa hizo hela za Field mbona huoni uchungu kwa mshahara wa bure unaolipwa wakati hujui unachokifanya ofisini kwako?????
Good!wape ukweli,success ya migomo ya chuo huwa inataka umoja,udsm migomo ilikuwa inaeleweka na hata impact zake znaonekana hadi sasa..fanyeni UE mrudi kwenu tu.Nimesoma UDSM 4 years, nimegoma sana bt niligoma kwa hoja na nilifanikiwa. UDOM toka muanze migomo yenu mnayotofautiana kati ya college/school mmeishafanikisha upi?Wenzenu toka College of informatics and virtual science waligomea hili hili mwezi april mkawaacha wakafukuzwa wenyewe leo mnaleta hoja ya migomo yenu ya kipumbavu humu, sasa WAZIRI MKUU YUPO JAMIIFORUMS? Ooh tunaenda BUNGENI! Upuuzi, Wajinga ndio waliwao. Poleni sana!
Kama waliweka Sahihi huo ni Mkataba wangewapeleka hawa Vihiyo Mahakamani moja kwa moja.lengo si kwenda bungen mtoa maada lengo la wanafunzi ni kwenda kumuona bwa mkubwa pinda na mwenzake kawambwa ambao waliweka sahihi kwenye maazimio ya mnamo mwez desemba mwaka jana kuwa wanafunzi wote lazima waende field yaan mafunzo kwa vitendo. Hivyo wanaenda huko kumtaka mkubwa mizengo na mwenzake kawambwa kuthibitisha kwamba waliudanganya au la na kama walikuwa hawana hakika kwanin waliweka sahih katika maazimio waliyokubaliana. NB lengo c kuonana na wabunge naomba ileweke hivyo.