UDOM kuandamana kwenda Bungeni

IS IT RIGHT

  • WHY

    Votes: 1 100.0%
  • WHAT TO DO

    Votes: 1 100.0%

  • Total voters
    1
Gomeeni bajeti iliyochakachua fungu lenu la field na kuwapa wabunge sitting allowances siyo mgomee kunyimwa kwenda field maana hata wakiwapa ruhusa ya kwenda huko watawaambia hakuna pesa.
 
Ujinga mwingine bunge ndio Wizara ya Elimu na Mafunzo! Nchi hii kila kitu ni siasa tu!

hapo kwenye nyekundu panaonesha jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikiri kwani waziri wa elimu na manaibu wake kwa sasa wako wapi??????????? pia unatakiwa ufahamu ni maamuzi ya kisiasa ndiyo yaliyopelekea hali hiyo na maamuzi hayo yanafanyika bungeni hivyo huwezi kuenga siasa na nyanja nyingine za kijamii, kiuchumi n.k
 
Ni patashika nguo kuchanika kuanzia saa 9 alfajiri, wanafunzi wa UDOM walipoanza maandamo,baadaye wajipanga ili kwenda bungeni kwa madai ya kwenda kwa Pinda, Nahodha na waziri wa elimu kudai kwanini wamewadanganya?? mabomu ya machozi yametawala ni vurugu tupu....
 
Siku mabomu ya kutoa machozi yatakapoisha hawa askari watatumia ya jeshi maana wao kila kitu ni mabomu tu na maji ya kuwasha .Hivi jeshi la polisi hawasomi saikoloji huko vyuoni ya namna ya kumaliza vurugu kwa amani?
 
Kwa nini wasiwasindikize wakafika kwa amani hapo bungeni? Ifike mahala polisi waangalie na walinde maslahi ya umma siyo ya mtu mmoja mmoja
 
Siku mabomu ya kutoa machozi yatakapoisha hawa askari watatumia ya jeshi maana wao kila kitu ni mabomu tu na maji ya kuwasha .Hivi jeshi la polisi hawasomi saikoloji huko vyuoni ya namna ya kumaliza vurugu kwa amani?

yaani katika somo ambalo polisi wa Tanzania hawajui ni Saikolojia.... yaani wao kweli wanajua kutumia mabomu na risasi za moto tu...ipo siku tutakuwa manunda.... anapigwa mtu risasi anadondoka unamruka unasogea mbele kukabili polisi.....
 
kwenda bungeni kwa madai ya kwenda kwa Pinda, Nahodha na waziri wa elimu kudai kwanini wamewadanganya?? ....
Kesi ya nyani anapelekewa ngedele!!
Pinda mwenyewe kashalidanganya Bunge na hata radhi hakuomba.
 
yaani katika somo ambalo polisi wa Tanzania hawajui ni Saikolojia.... yaani wao kweli wanajua kutumia mabomu na risasi za moto tu...ipo siku tutakuwa manunda.... anapigwa mtu risasi anadondoka unamruka unasogea mbele kukabili polisi.....
aliimba Sugu "itafika wakati sitojali na pingu nitaona bangiri ndipo wote mtaona sina akili ya kufikiri, afande ataniita nitakataa kusimama, mikononi mwa polisi ni salama, sasa mbona siyo salama, mnatangaza kiama", naomba tusifike huko
 
Umma unapodai haki yake, kihistoria dola haijawahi kufanikiwa kuwazuia. wabunge wanajadiliana kama wachukue posho au la over their salarie, wanafunzi hawana pesa ya practical training. This is next to impossible.
 
yaani katika somo ambalo polisi wa Tanzania hawajui ni Saikolojia.... yaani wao kweli wanajua kutumia mabomu na risasi za moto tu...ipo siku tutakuwa manunda.... anapigwa mtu risasi anadondoka unamruka unasogea mbele kukabili polisi.....
Sadly, siku hiyo haipo mbali sana....
 
Umma unapodai haki yake, kihistoria dola haijawahi kufanikiwa kuwazuia. wabunge wanajadiliana kama wachukue posho au la over their salarie, wanafunzi hawana pesa ya practical training. This is next to impossible.

Mkuu hapo kwenye Red umenifurahisha....kweli viongozi wa nchi hii ni majuha... wabunge badala ya kutetea wananchi wanatetea matumbo yao
 
andamana acha majungu na kujilinganisha na udsm.ud wakigoma jua ni kitu cha maana.juzjuz wamegoma sikilizia boom litaongezeka punde.
 
tumeshawazoea hawa mana ndo kawaida yako kila siku wao kwenda bungen mbona IFM na magogon wapo karibu na ikulu lakn hawaandaman kwenda ikulu. Tumeshawazoea hawa ngoja wanyooshwe kwanza watimuliwe walimwebarua alafu wakirud watanyooka hata mliman walikuwa hvyo hvyo ngoja wanyooshwe kila siku wao tuu wanaandamana wanachosha kwan hzo pesa za field ni wao tuu ndo hawapewi VYUO VYOTE tanzania wananyimwa mpaka tumewazoea
 
Kwani Tanzania kuna Bunge au Kikao cha mipasho? Bunge litakuwa hilo? Mbona ndani kumejaa mijingjinga katika hoja za maendeleo wao wazomea, hoja za kijingajinga wanazishangilia hasa wanamipasho wa Magamba
 
Ni migomo,maandamano hakuna masomo tena. Chuo kikuu cha Dodoma College of Social Science na Humanities wamegoma kuingia ma darasani tangu ijumaa,kisa wanafunzi wa chuo hawaruhusiwi kwenda Field-amazing!
 
Hakuna pesa za kuwapeleka maeneo yao ya field,yaani nauli,malazi na chakula.Kila mtu anajua umuhimu wa field kwa mwanafunzi wa chuo,sasa swali serikali ya ccm haikujua hili kabla ya kudahili wanafunzi wengi kama hao mpaka wanashindwa kuwahudumia? Kumbe wanataka sifa tu ooh TUNACHO CHUO KIKUU DODOMA.Haya semeni CDM inahusika tena!
 
Jamani huyu Mheshimiwa Lema jana kakesha Udom! Badala ya mgomo kuwa wa wanafunzi sasa na CDM wamo! Tanzania Tanzania Mungu akurehemu!
 
Back
Top Bottom