UDOM kuandamana kwenda Bungeni

IS IT RIGHT

  • WHY

    Votes: 1 100.0%
  • WHAT TO DO

    Votes: 1 100.0%

  • Total voters
    1

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha dodoma imeridhia wanafunzi kuandamana kesho kuelekea bungeni kwa ajili ya kupinga hatua ya kunyimwa kwa mara nyingine fursa ya kufanya mafunzo kwa vitendo (Field) katika likizo inayotarajia kuanza soon.
ikumbukwe kwamba kuliwahi kutokea mgomo wa aina hii na mawaziri watatu wakakodi ndege hadi dodoma kwa ajili ya kusuluhisha, na kuahidi kuwa kuanzia sasa wale ambao walikuwa hawaendi field wataanza kwenda mwaka huu. lakini sasa muda umekaribia na uongozi wa chuo umewatangazia tena kwamba hakuna field. Sasa ndipo uongozi wa serikali umeamua wanafunzi wafanye maandamano kwenda bungeni kudai haki yao na kulalamika serikali kuwapa ahadi ya uongo.
 
.....................Real UDOM you have the work to do....I wish all the best in your endeavors,I cant understand university student without field practical what is this?...rubbish!!!!
 
Vijana wa Chuo kikuu chetu cha Kata mnadai ruhusa kwenda field au posho za kuendea field?
 
lengo si kwenda bungen mtoa maada lengo la wanafunzi ni kwenda kumuona bwa mkubwa pinda na mwenzake kawambwa ambao waliweka sahihi kwenye maazimio ya mnamo mwez desemba mwaka jana kuwa wanafunzi wote lazima waende field yaan mafunzo kwa vitendo. Hivyo wanaenda huko kumtaka mkubwa mizengo na mwenzake kawambwa kuthibitisha kwamba waliudanganya au la na kama walikuwa hawana hakika kwanin waliweka sahih katika maazimio waliyokubaliana. NB lengo c kuonana na wabunge naomba ileweke hivyo.
 
Tujadili hoja ya msingi na si kuleta ushabiki usiokuwa na tija. Nani kasema wanafunzi wa UDOM wanadai posho au wanavaa Tshirt za CCM?
Kusoma bila mazoezi kwa vitendo ni kazi bure.
 
Ujinga mwingine bunge ndio Wizara ya Elimu na Mafunzo! Nchi hii kila kitu ni siasa tu!
Mungu wangu, huyu sijui anafikiria nini? Amesahau kuwa Viongozi wakubwa wote akiwemo waziri wa Wizara anayoitaja yupo Dodoma. Nchi hii ina wajinga wengi sana
 
We ndo mjinga, unamaana waandamane hadi Dar!??.
kwani wakiwa dom isue za kielimu huwa wanaziriport bungeni? na nihatua gani viongozi wao walisha zifanya za kuonana na waziri kiasi kwamba waende bungeni.

Field hata wakienda huwa waliowengi wala haziwasaidii ila tu wanajitakia pesa. Mimi ofisini kwangu aliwahi kuja mwanafunzi wa field nikamuuliza huko chuoni kwao ni mambo gani wanataka afundishwe ktk kipindi chake cha field akashindwa kujibu, toka siku hiyo nikagundua hii nyanja nayo inatakiwa ifanyiwe kazi, kwani bado ni kiini macho kinachopelekea upotevu mkubwa wa pesa.
Mwanafunzi anachukua pesa za field na huko field haendi na hata akienda hakuna anachojifunza.
Kwa mfano kozi zingine ni za kifedha ivi ni kampuni gani utaenda kufanya field waweze kukuruhusu kuingia kwenye system zao hali ya kuwa wewe si muajiliwa?
 
MWENYEZI MUNGU awatangulie ila nina shaka na police wetu na viongozi wetu maana hawatakawia kusema mmchochewa na chama fulani hivyo kugawa kipigo..USHAURI..msiandamane isipokuwa mkutane nyerere square zaidi nikutakieni kila laheri ndio serikali yetu 2tafanyeje UDOM NI YETU SOTE
 
Back
Top Bottom