TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
- Thread starter
- #21
HABIBU MCHANGE anafaa...ni jasiri..anauwezo mkubwa..hayumbishwi na masuala yasiyo na msingi...ana msimamo..
huyu dogo anafaa kushinda hicho kiti kwani ameonyesha uwezo mkubwa sana katika uchaguzi uliopita ambapo aligombea UBUNGE KIBAHA MJINI na kupelekea mpaka CCM kumnyang'anya ushindi.
ana hoja na anijua siasa vilivyo..
ana kila sababu za kuwa mwenyekiti wa BAVICHA
mbadala wake ni SILINDE lakini kwa sasa tunashauri tumpate mwenyekiti atakayekuwa na muda wa kutosha kutumikia vijana..mwache SILINDE awawakilishe WA-MBOZI na amshike pabaya MWANRI palw TAMISEMI
kuwa chuoni siyo hoja kwani hata asingekuwa chuo bado angekuwa anafanya kazi sehemu nyingine ili aweze kuishi...uenyekiti sio ajiar ni kazi tu ya kujitolea...mbona mbowe bado anasoma mpaka leo na anakiendesha vizuri chama?.
dogo anafaa sana...
wapeni zawadi hiyo ya uenyekiti wa vijana watu wa kabaha.