Viongozi Wakuu wa Mabaraza, Jumuiya na Taasisi za Vijana wa Vyama vya Siasa vya Upinzani vilivyoungana pamoja wanazungumza na taifa kupitia waandishi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Viongozi Wakuu wa Mabaraza, Jumuiya na Taasisi za Vijana wa Vyama vya Siasa vya Upinzani vilivyoungana pamoja wanazungumza na taifa kupitia waandishi wa habari.

Mwenyekiti wa BAVICHA Patrick Ole sosopi amesema kama vijana wa vyama vya Upinzani nchini wanaoana giza nene mbele na hawaoni mwanga kutokana na muswada wa nyongeza wa marekebisho ya sheria ya vyama vya Siasa.

"Kupitia Muswada huu, siyo tuu unakwenda kuua vyama vya siasa, bali unakwenda kuzika kabisa ndoto zetu kama vijana na tutajikuta kwenye maangamizi makubwa sana na kuimarisha mizizi ya udikteta" Ole sosopi - M/Kiti BAVICHA.

Ole sosopi amesema moja ya sababu ya kuupinga muswada wa mabadiliko ni kifungu kipya cha 5 (a) ambacho kinajaribu kuondoa mahusiano mema ya taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Sisi kama vijana tunapinga muswada huu kwa sababu una nia ovu ya kuharibu dhamira ya vijana ya kiuanaharakati na kuikosoa Serikali pale inapofanya mambo yenye kuonyesha uovu" Patrick Ole sosopi

Tunapinga pia kifungu cha 8 (e) ambacho nacho kinapingana na katiba ya nchi na sisi kama vijana tunaona kuna nia ovu ambayo imejificha katika kifungu hiki" Ole sosopi - M/Kiti BAVICHA.

Uzoefu unaonyesha kuwa wanaharakati vijana na wanasiasa vijana ndiyo wenye ujasiri zaidi katika kuikosoa Serikali pale inapofanya uovu" M/Kiti wa BAVICHA - Patrick Ole sosopi

Uzoefu unaonesha kwamba vijana ndio wanaharakati, na pia ndio kundi la watu wengi kuliko kundi lolote, uchaguzi wa 2015, idadi ya vijana waliopiga kura ni zaidi ya 57% na ukiangalia idadi ya vijana nchini ni 63% - Patrick Ole Sosopi

Jeshi la Polisi haliwajibiki ipasavyo kwenye ulinzi wa viongozi wetu wa kisiasa, hasa vyama vya upinzani -Patrick Ole Sosopi Mwenyekiti wa Bavicha

Tunajua katika nchi hii, kiongozi mmoja ndio mwenye "Immunity", na sasa huu muswada unampa madaraka makubwa Msajili wa Vyama vya Siasa, ni hatari sana kwa msajili kuwekewa kinga ya namna hii - Patrick Ole Sosopi.

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha CHAUMA, Eugine Kabendera amesema kuukubali muswada wa vyama vya siasa ni sawa na kudhamini barafu kwenye jua.

Eugine Kabendera akiwa kama Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHAUMA amewaambia wanahabari kuwa bila Uhuru wa vyama vya siasa, nchi hii itachelewa sana kupata maendeleo ambayo tunayataka kama nchi.

Hatujakutana hapa kuupinga Muswada huu kwa sababu ya kugombanaia ruzuku za vyama vyetu, tumekutana hapa kuupinga muswada huu kwa sababu ukipitishwa una athari kubwa katika siasa na unaenda kuleta vurugu - Likapo, M/kitii wa Ngome ya Vijana, Act Wazalendo.

Likapo Bakari - Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT "hatupingi muswada huu kwa sababu vyama vyetu vina maslahi yake humo, hapana tunapinga kwa sababu hatutaki kuwa na taifa la vijana wajinga wasiojua kujenga hoja"
 
Bado mnaendesha siasa za uhanakarati na siyo za maendeleo?
 
Mbona Mzee meko anaendesha siasa za Ufutuhi?
"Namba" mtaendelea "kuisoma" na kuishia kubwabwaja kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii badala ya kukaa meza moja na watawala mkakubaliana kiutu uzima.

Hata Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mtaambuliwa patupu.

Katika karne hii suluhisho halipatikani kwa kususa au kujitenga.
 
wekeni usawa kwenye siasa alafu useme mtatoka patupu
 
Usawa ni pale mnapopata ushindi tu au usawa unakuja mnaposhirikiana na serikali kutatua matatizo ya maendeleo ya wananchi?

Najiuliza wabunge wa upinzani humkomoa nani wanaposusia vikao vya bunge au kukejeli kanuni na taratibu za bunge wakafukuzwa bungeni kwa muda? Wanawatendea haki wapiga kura wao au wanakidhi matakwa yao ya kisiasa?

Wapinzani watapoteza nini kukaa meza moja na Serikali wakajadili, kidugu, mikakati ya Serikali ya kimaendeleo, badala ya kukimbilia kwenye vyombo vya habari au Jumuiya za Kimataifa?
 
"Namba" mtaendelea "kuisoma" na kuishia kubwabwaja kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii badala ya kukaa meza moja na watawala mkakubaliana kiutu uzima.

Hata Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mtaambuliwa patupu.

Katika karne hii suluhisho halipatikani kwa kususa au kujitenga.
Hatuwezi kuungana na wauaji, watekaji, watesaji na wachumia tumbo.
 
Usawa ni pale mnapopata ushindi tu au usawa unakuja mnaposhirikiana na serikali kutatua matatizo ya maendeleo ya wananchi?

Najiuliza wabunge wa upinzani humkomoa nani wanaposusia vikao vya bunge au kukejeli kanuni na taratibu za bunge wakafukuzwa bungeni kwa muda? Wanawatendea haki wapiga kura wao au wanakidhi matakwa yao ya kisiasa?

Wapinzani watapoteza nini kukaa meza moja na Serikali wakajadili, kidugu, mikakati ya Serikali ya kimaendeleo, badala ya kukimbilia kwenye vyombo vya habari au Jumuiya za Kimataifa?
Hakuna popote duniani watu wasiojulikana wanashirikiana na watu waungwana acheni mechezo ya watu wasiojulikana
 
Mwungwana ni yule anayetimiza wajibu wake.

Haki na Wajibu. Uhuru na Mipaka yake kuheshimiwa (Ibara ya 29 na 30 ya Katiba ya JMT)
 
Back
Top Bottom