Uchaguzi wa vijana CHADEMA (BAVICHA) taifa ni mpambano mkali

HABIBU MCHANGE anafaa...ni jasiri..anauwezo mkubwa..hayumbishwi na masuala yasiyo na msingi...ana msimamo..
huyu dogo anafaa kushinda hicho kiti kwani ameonyesha uwezo mkubwa sana katika uchaguzi uliopita ambapo aligombea UBUNGE KIBAHA MJINI na kupelekea mpaka CCM kumnyang'anya ushindi.
ana hoja na anijua siasa vilivyo..
ana kila sababu za kuwa mwenyekiti wa BAVICHA
mbadala wake ni SILINDE lakini kwa sasa tunashauri tumpate mwenyekiti atakayekuwa na muda wa kutosha kutumikia vijana..mwache SILINDE awawakilishe WA-MBOZI na amshike pabaya MWANRI palw TAMISEMI
kuwa chuoni siyo hoja kwani hata asingekuwa chuo bado angekuwa anafanya kazi sehemu nyingine ili aweze kuishi...uenyekiti sio ajiar ni kazi tu ya kujitolea...mbona mbowe bado anasoma mpaka leo na anakiendesha vizuri chama?.
dogo anafaa sana...
wapeni zawadi hiyo ya uenyekiti wa vijana watu wa kabaha.
 
Mie naweza sema kuwa kati ya wote hapo grayson anafaa kuwa mwenyekiti wa vijana wa CDM bavicha ,henche ni mhuni ndiyo yeye wakishirikiana na kafulila by then waliharibu uchaguzi uliopita kwa kuongeza idadi ya kura na kutaka kupigana hawatufai, grayson ni kijana msomi asiye na makundi ndani ya chama na ni kijana msomi mwenye taaluma ya udaktari.
Mbunge wa Mbozi bwana silinde yeye kwa sasa ningemshauri hizo nafasi awaachie vijana yeye ameshavuka hiyo level ajikite kuwatumikia wapiga kura wake na kujenga mtandao mkuu wa chama jimboni na mkoa mzima wa mbeya yeye kama mbunge awaachie maunderground wafanye hiyo kazi

Viini macho tu. Mwenyekiti lazima awe mwenyeji wa Kilimanjaro kama ilivyo kwa mwenyekiti Taifa na mwenyekiti wa akina mama.

Sasa yupi hapo anatokea kilimanjaro?
 
Kwa Upande wangu napendekeza Mwenyekiti wa BAVICHA apewe Silinde ili tuweze kuteka kundi la vijana la mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa, Ruvuma na Katavi.
 
Siwajui hao,namfahamu heche na silinde..lakini je wataweza kuvaa magwanda ya mnyika??yeyote atakayechaguliwa nitamuunga mkono
 
Viini macho tu. Mwenyekiti lazima awe mwenyeji wa Kilimanjaro kama ilivyo kwa mwenyekiti Taifa na mwenyekiti wa akina mama.

Sasa yupi hapo anatokea kilimanjaro?
mwenyekiti wa wanawake nani?anatokea wapi?mbona una mambo ya ajab,mnyika alitokea kilimanjaro,acha utoto,
 
Sioni kama hawajamaa wananafasi kwa ujumla wao hasa habibu mchange ambaye nguvu yake ni zitto kabwe peke yake. Zitto ambaye naye ameshaanza kuchuja kisiasa kwa kasi kubwa. Nimesikia toka rafiki yangu wa karibu kuwa christopher andendekisye ambaye alikuwa rais wa chuo kikuu cha dar es salaam ( 2004 - 2005) ametangaza nia. Kama ndivyo, nadhani wengine wote wasahau. Labda mp silinde atachuana naye sana.
Thanks.
 
Msitukumbushe ya Kafulila! Msitukumbushe ya Bavicha! Msitukumbushe ya Uenyekiti wa Mbowe na Zitto. Atakaepewa uenyekiti ni yule atakaelinda maslahi ya Mbowe na Mkwewe! Hiyo ndio Demokrasia ya Chadema hutaki hama chama.
 
Wote wazuri tuwasikilize hoja zao! Afu tuombe mafisadi wa SISIEm wasitie mkono kama kwa KAFULILA na ZITTO!
 
MH HAFIF wewe ni BOGA! katika hao hapo hakuna wa KIlimanjaro....Mimi kwetu SHy town lakini nawakuli hao wala sioni ukabila hapo....usitake kuwasidikisha watu uongo!
 
Namfagilia Christopher andendekisye kama ametangaza nia yule kichwa na anajiweza sana Silinde naona yeye abaki kama Mbunge akiendelea kujenga jimbo lake
 
Sioni kama hawajamaa wananafasi kwa ujumla wao hasa habibu mchange ambaye nguvu yake ni zitto kabwe peke yake. Zitto ambaye naye ameshaanza kuchuja kisiasa kwa kasi kubwa. Nimesikia toka rafiki yangu wa karibu kuwa christopher andendekisye ambaye alikuwa rais wa chuo kikuu cha dar es salaam ( 2004 - 2005) ametangaza nia. Kama ndivyo, nadhani wengine wote wasahau. Labda mp silinde atachuana naye sana.
Thanks.

RUBBISH KABISA.
tunazungumzia uchaguzi wa vijana na sio Zitto Kabwe kafanya nini wala Mbowe kafanya nini...mbona hamsemi kama silinde anamtegemea Mbowe kwa kila jambo katika uchaguzi huo?..
kwani haufahamu kama mbowe amwshamtosa heche tayari na sasa anamtaka silinde ambaye hawezi kushinda.
kwa sisi tunayemfahamu Habibu Mchange tunajua ni kiasi gani ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huu tena kwa mbali sana kulinganisha na heche ambaye mtaji wake ni matusi na silinde ambaye mtaji wake ni mbowe...
vijana wa CHADEMA sio kama CCM hawapo tayari kurundika vyeo vyote kwamtu mmoja tu...silinde tayari ni mbunge na ni naibu waziri kivuli tamisemi hivyo ana nafasi kubwa sana ya kuwatumikia watanzania katika fursa hizo alizonazo na si tena kupeleka pua yake BAVICHA na kama haamini agombee na aone atakavyoshindwa na Habibu Mchange.
kumuunganisha Mchange na zitto ni sawa na kuogopa kivuli cha zitto na kurudisha siasa za makambi.
waacheni vijana wafanye uchaguzi wo wenyewe.
 
mwenyekiti wa wanawake nani?anatokea wapi?mbona una mambo ya ajab,mnyika alitokea kilimanjaro,acha utoto,

ina maana siku zote haujui kama Mnyika ni mpare wa same?...kama hulijui hilo basi usidanganywe na usukuma anaojipa huyo bwana mdogo...
M_SUSA
M_MNYIKA
M_MDEE
M_GONJA
M_RUTU
M_CHARO...................hayo ni majina ya koo kubwa za kipare mzee!!..
kama upareni siyo mkoa wa kilimanjaro basi nahama nchi.
 
Namfagilia Christopher andendekisye kama ametangaza nia yule kichwa na anajiweza sana Silinde naona yeye abaki kama Mbunge akiendelea kujenga jimbo lake

Andendekisye yupi? Yule aliyekuwa Rais Picha wa DARUSO au
 
Zitto,Mbowe, Ande..,Silinde hawa wote ni CDM,hatuhitaji kusikia huyu kaja kwa bus,eti kwa bajaji,kwa baiskeli ama sijuhi kwa treni,sie tunataka uongozi makini na yule mwenye hoja za nguvu ndiye apewe..tuongelee hoja tuache ubini na majina ya watu..PEOPLE'S POWER!!
 
ina maana siku zote haujui kama Mnyika ni mpare wa same?...kama hulijui hilo basi usidanganywe na usukuma anaojipa huyo bwana mdogo...
M_SUSA
M_MNYIKA
M_MDEE
M_GONJA
M_RUTU
M_CHARO...................hayo ni majina ya koo kubwa za kipare mzee!!..
kama upareni siyo mkoa wa kilimanjaro basi nahama nchi.

Endelea

M-PESYA
M-PUNGA
M-BAGA
M-TUNDU
M-NYIMKUU
M-NYAMBEGU

Endelea
 
ina maana siku zote haujui kama Mnyika ni mpare wa same?...kama hulijui hilo basi usidanganywe na usukuma anaojipa huyo bwana mdogo...
M_SUSA
M_MNYIKA
M_MDEE
M_GONJA
M_RUTU
M_CHARO...................hayo ni majina ya koo kubwa za kipare mzee!!..
kama upareni siyo mkoa wa kilimanjaro basi nahama nchi.

Acha kulazimisha makabila, usichanganye Mnyika na Manyika! halafu kuna majina mengi hapa tz ambayo yanapatikana kwenye kabila zaidi ya moja, do ur homework pal!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom