Sakata La Lissu. "Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) unawakanya BAVICHA waache kiherehere"

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
SHAKA AUNGURUMA

Maneno yaliosemwa na bavicha yanatakiwa kupuuzwa na watanzania werevu wenye kuitakia mema nchi yetu"

Vikra na mitazamo ya BAVICHA inapaswa kulaumiwa kwani wameonyesha utovu wa nidhamu kwa Serikali"

"Tukio la Lissu si la kuleta siasa, si la kuanza kuchochea vurugu"

"Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi unawakanya Bavicha waache kiherehere.

"UVCCM inawakanya BAVICHA kuacha kiherehere wakati huu ambao vyombo vya dola inatimiza wajibu wao"

"UVCCM inaunga mkono kwa mara ya kwanza kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambae alitaka tusinyoosheane kidole"

"UVCCM inaomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Tundu Lissu arudi kwenye majukumu yake kama kawaida"- Shaka

"Matamshi ya BAVICHA yana nia na lengo la kupalilia chuki na hasama kwan yamethubutu kuingilia medani za kintelejinsia na upelelezi" - Shaka

"Kuishutumu Serikali na na kudai eti inaendeshwa kwa mfumo kandamizi si tu kama ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu" - Shaka

Tukio la kushambuliwa Mhe. Lissu na watu wasiojulikana si jambo dogo na jepesi kama inavyochukuliwa na BAVICHA na viongozi wake" - Shaka

"Yapo matukio mengi huko nyuma yamewahi kutokea. Mengine yamepoteza maisha ya viongozi wa juu wa Serikali kabla hili la Mhe. Lissu" - Shaka

"BAVICHA wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha kushangaza cha Marehemu Chacha Zakayo Wangwe." - Shaka

"Mbowe ametamka matamshi yaliopevuka kifikra na kisiasa tofauti na povu lilivyowatoka vijana wake na kuonyesha uchanga katika siasa" - Shaka

"UVCCM tulitegemea kuona ujasiri wao wanaojigamba na kuwapa kiburi, wangehoji mazingira tata ya vifo vya Malima na Ditopile" - Shaka

"UVCCM tunaendelea kushauri ni vema kwa wakati huu tukaongozwa na busara kuliko pupa na ushabiki" - Shaka

"UVCCM tunamuomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Lisu aje kushirikiana na Watanzania wenzake kujenga na kuliendeleza taifa letu." - Shaka
 
Tako ni kiungo kama ilivyo mkono, mguu, pua n.k

Kukutajia matako yako isionekane nimekutukana bali ili nikwambie kuwa nguo yako imetoboka sehemu gani nilazima niseme hivii!

Nguo yako imechanika matakoni.
Sasa tumia akili ukaivue uibadili.
 
Hii sio ile UVCCM yetu,tulioibeba toka kwenye TANU YOUTH LEAGUE.
UVCCM imara ya kizazi hiki iliondoka na uongozi wa kina Emmanuel Nchimbi,baada ya pale hakuna kitu...Ingekuwa ni amri yangu,unga wa bulga ungerudishwa,kuliko haya makukuu ya kisasa na machipsi ya mafuta ya transfoma.
 
SHAKA AUNGURUMA

Maneno yaliosemwa na bavicha yanatakiwa kupuuzwa na watanzania werevu wenye kuitakia mema nchi yetu"

Vikra na mitazamo ya BAVICHA inapaswa kulaumiwa kwani wameonyesha utovu wa nidhamu kwa Serikali"

"Tukio la Lissu si la kuleta siasa, si la kuanza kuchochea vurugu"

"Umoja wa Vijana wa chama cha mapinduzi unawakanya Bavicha waache kiherehere.

"UVCCM inawakanya BAVICHA kuacha kiherehere wakati huu ambao vyombo vya dola inatimiza wajibu wao"

"UVCCM inaunga mkono kwa mara ya kwanza kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambae alitaka tusinyoosheane kidole"

"UVCCM inaomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Tundu Lissu arudi kwenye majukumu yake kama kawaida"- Shaka

"Matamshi ya BAVICHA yana nia na lengo la kupalilia chuki na hasama kwan yamethubutu kuingilia medani za kintelejinsia na upelelezi" - Shaka

"Kuishutumu Serikali na na kudai eti inaendeshwa kwa mfumo kandamizi si tu kama ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu" - Shaka

Tukio la kushambuliwa Mhe. Lissu na watu wasiojulikana si jambo dogo na jepesi kama inavyochukuliwa na BAVICHA na viongozi wake" - Shaka

"Yapo matukio mengi huko nyuma yamewahi kutokea. Mengine yamepoteza maisha ya viongozi wa juu wa Serikali kabla hili la Mhe. Lissu" - Shaka

"BAVICHA wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha kushangaza cha Marehemu Chacha Zakayo Wangwe." - Shaka

"Mbowe ametamka matamshi yaliopevuka kifikra na kisiasa tofauti na povu lilivyowatoka vijana wake na kuonyesha uchanga katika siasa" - Shaka

"UVCCM tulitegemea kuona ujasiri wao wanaojigamba na kuwapa kiburi, wangehoji mazingira tata ya vifo vya Malima na Ditopile" - Shaka

"UVCCM tunaendelea kushauri ni vema kwa wakati huu tukaongozwa na busara kuliko pupa na ushabiki" - Shaka

"UVCCM tunamuomba Mwenyezi Mungu amponye Mhe. Lisu aje kushirikiana na Watanzania wenzake kujenga na kuliendeleza taifa letu." - Shaka
Wangezungumzia kwanza issue za rushwa zinazowakabili hao kina shaka
 
"Bavicha wamekwepa kutaja kiini cha kifo cha Chacha Zakayo wangwe".

Kama bavicha wamekwepa kwa nini nyie mnaoongoza dola mmeshindwa kutaja na kuwafikisha katika vyombo vya sharia wakajibu tuhumu.

Ben Saanane -serikali ilidai inao uwezo wakuwapata waliompoteza mpaka leo kimya.Ikakataa hata vyombo kutoka nje visije kuchunguza kwamba police wa ndani wana uwezo lakini nyie UVCCM hampigi kelele kwamba police walete majibu.

Roma mpaka leo kimya juu ya waliomteka,

Clouds fm waliovamia kimya na siraha za smg zilionekana,na inawezekana watu mligundua kama cammera zimewanasa ndio mkaamua kuacha mlichokuwa mmefata lakini mwenye akili yeyote anajua mlifaata nini.

Kwa bahati mbaya tu msichojua na mlichofeli gali ya TL ina stick cammera kwa nje na zipo kuzunguka gali zima.Nahicho ndicho kinachowanyima usingizi wauwaji,nandio maana mnataka kumbana na dereva awape.Na TL alijua kwa nini dereva wake nimjoba wake,kwahiyo Uvccm tulieni TL apone aje kuwambia nani alifyatulia risasi na ushahidi upo,maana wanajulikana baada ya kufyatulia risasi walikimbia na gali kurudi dsm,wakapumzika morogoro,kesho yake asubuhi wakafanya mazoezi morogoro,wakaja dsm mpaka viwanja minazi mingi.

Poleni sana uvccm,simameni na watanzania na muache kusimama na chama chenu huo ndio uzalendo.
 
3783e3061704ba94c5e2cb7507df777d.jpg

!Yves V!
 
Back
Top Bottom