Uamuzi wa kamati kuu ya chadema kuhusu madiwani wake Arusha

maamuzi mengine hayazingatii matatizo ya wananchi ila wana yafanya kwa kujali matamaniao yao. kwani kulikuwa na tatizo gani wale madiwani wa cdm kuendelea na udiwani wao? kwahiyo maamuzi hayo wao wanadhani wamemkomoa nani kichama kati ya cdm na magambazi?
 
hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.

Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.

Pongezaneni tu kwani mnachokijua ni uswahili tu si Arusha wala maendeleo ya wananchi bali upuuzi puuzi
 
Jamani tusioelewa nini kiini cha CHADEMA kuwaamuru madiwani wajihudhuru, tungeuliza sa7bu gani zilizowafanya waanze kpingana katka maamuzi yao na mmbuge wao, kisha tuanze kjadili nani alaumiwe au tuwashauri vipi hawa wenzetu. Hapa duniani hamna mtu asiyekosea hata hao wakna MANDERA. NYERERE, NKHURUMA nk, ukichungza knamaamzi mengine waliyafanya kwa makosa.
Wanachadema tunaomba watueleze nini tatizo na kwani hamwezi kulitatua kama chama?
 
slaa ni mnafiki sana kiasi hiki, mleteni yeye tu 2015 mpate kichapo alipokuwa anasema eti atawafukuza cdm mbona kimya hadi sasa leo anaanza blah blah nyiingi wajiuzulu, kujiuzulu ni hiari ya mtu, kwa hiyo wameshindw kuwafukuza na wameamua kutuzuga kuwa wameagiza wajiuzulu, utumbo mtupu, ili kesho aseme wamegoma.
na shibuda je mbona hamsemi nyie wanafiki sana mbowe slaa wanafiki wakubwa.......hampati urais kamwe.

vueni gambga basi

Mnalo la CDM hamfurukuti
 
wewe sio mzima, wakakupime. Umeambiwa dr slaa anafanya maamuzi binafsi? Cdm sio sawa na magamba kama ulikuwa hujui

wewe ni mwanachadema na hufuatilii kauli za viongozi wako kwenye vyombo vya habari, slaa alisema atanyang'anya kadi na mbowe alisema anashitushwa na tukio lile la muafaka, kumbe ndiye alikuwa mtoa mwongozo na waliketi na pinda, tundu lissu na zitto walisema shibuda watamufukuza cdm
sasa sema kama walipokuwa wanaropoka walipewa mamlaka ya kuropoka na kamti kuu yenu, jibu sasa na kama wanatakiwa wasubiri maamuzi ya kamati kuu, mbona walikuwa wanakurupuka, hahaaa cdm mnanichekesha sana.
 
busara busara ni kitu adimu saana kwa viongozi wa chademasasa kusema madiwani wote wa chadema wajiuzulu,wanamkomoa nani?????sasa huku si ndo kumwaga mboga???????
Madiwani wale waliozungua mlango wa nyuma wakafanya chaguzi ndio wanapaswa kujiuzuru!
 
Nimefurahi sana na uamuzi huu wa viongozi wa CDM kwa sababu zifuatazo.

Kwanza kabisa CCM wamekuwa wakitumia mbinu hii mara nyingi ktk uongozi wa wilaya ili kuonyesha wapo tayari kushirikiana na vyama vingine lakini muda wote wamekuwa wao Watawala hata mahala ambapo hawana wajumbe wengi. Na isitoshe CDM wanatakiwa wajifunze yale yaliyotokea Kigoma ambapo CCM ilitumia kama mtaji ktk migogoro mingi baada ya CDM kushirikiana nao chaguzi zilizopita. Na kikubwa zaidi ya yote tusikubali muafaka kama wa CUF ku shake hands with a devil ati kwa matumaini mema.. Hapana Devil anatakiwa yeye abatizwe (asilimu) na kukubali yaliyo mema laa sivyo hakuna sababu ya kushirikiana naye.

Madiwani lazima wajiuzulu nafasi zote za manispaa ikiwa uchaguzi wenyewe haukuwa halali, imefika wakati CDM lazima wasimamie kile wanachokiamini na sio kufuata maagizo ya chama tawala hata ktk uongozi ulopaswa kuwa chini yao.
 
Wameambiwa wajiuzuru ni wale walio pewa vyeo yaani naibu meya, Mwenyekiti wa kamati ya Uchumi na Elimu....ambao ni madiwa kutoka CHADEMA
 
(MAGAMBA MATATU;2244089]CHADEMA haitaki uongozi wa mgawanyo kwani ndoo hii inamfanya Maalim Seif kutaka kuhamia CCM kwa kuwa tayari kalamba harufu ya magamba...]
Alichokifanya Maalim Seif ni cha ajabu sana. hakutaka kuisimamia kweli, kilichokuwa kinasababisha machafuko Zanzibar ni CCM kulazimisha ushindi kila chaguzi ambazo wao CUF walikuwa wanashinda hata uchaguzi wa 2010 CUF walichukua majimbo zaidi Unguja tofauti na la Mji Mkongwe ambalo miaka yote walikuwa wanashinda, leo wanajificha kwenye muafaka kwamba ulikuwa kwa maslahi ya wananchi. ukweli ni kwa maslahi yake binafsi na viongozi wachache wa juu CUF.
 
busara busara ni kitu adimu saana kwa viongozi wa chadema

sasa kusema madiwani wote wa chadema wajiuzulu,wanamkomoa nani?????

sasa huku si ndo kumwaga mboga???????

Acha kutoa maoni kishabiki. Unaposema wasema madiwani wote wa CDM wajiuzulu unataka ieleweke kuwa CDM inataka madiwani wajiuzulu udiwani wao, sio?
Na hata hivyo kwanini unadhani hayo maoni yamelenga KUKOMOA na sio KUKOMBOA?
 
Kati ya mitego iliyowahi kuvukwa na CDM ni huu...it's unbeliavable! hongera CDM msiogope kupoteza inapobidi kwa maana hata ktk kujenga kubomoa hakukwepeki...to loose is to gain,let us stay solid.
 
CDM wameudumaza mji wa Arusha kibiashara saizi watu wanaukimbia kwa kuogopa fujo na vurungu za wahuni! Mimi mwenyewe nilikuwa na mpango kufungua biashara ya utalii lakini huu mgogoro umenifanya nisitishe kwanza. Ata watalii wamepungua sana wanaogopa kuvamiwa na wahuni wa CDM, Wamiliki wa mahoteli ya kitalii wanalia wateja hamna mbugani
 
CDM ni genge la watu wenye nia ya kuharibu mchakato wa wananchi kujiletea maendeleo.
1. Singida Tundu Lisu anahimiza wananchi kuacha kuchangia maendeleo yao.
2. Arusha akina Lema kila siku wanahimiza shari tu na vurugu zisizo na kikomo.
3. Wao ni kulalama tu na kuchochea mifarakano ndani ya jamii pasipo MBADALA WA KUENDELEZA NCHI.

HAWA WATU WANATAKIWA WAZOMEWE NA MAKOMBATI YAO KAMA HAWAPO HURU! Tuwapotezee WATZ tujiandae sherehe za kutimiza miaka 50 ya UHURU
 
tehe tehe tehe, uko bia ya ngapi?? kitimoto unakiona hapo mbele kweli??? tehe tehe, pole sana maana hata kaumeme nako hakuna, unakunywa gizani, hata ghorofoni havipandi tena, tehe tehe tehe, kapumzike uje acetone zimepungua.
CDM wameudumaza mji wa Arusha kibiashara saizi watu wanaukimbia kwa kuogopa fujo na vurungu za wahuni! Mimi mwenyewe nilikuwa na mpango kufungua biashara ya utalii lakini huu mgogoro umenifanya nisitishe kwanza. Ata watalii wamepungua sana wanaogopa kuvamiwa na wahuni wa CDM, Wamiliki wa mahoteli ya kitalii wanalia wateja hamna mbugani
 
hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.
Hivi barubaru ni nini? Kikwetu barubaru ni makalio ya nyani!Busara ya cdm imezidi ya magamba by far sidhani kama magamba walitegemea kitu kama hiki. Kama hawa madiwani watakaidi amri hii ndipo utakapojua kuwa cdm hailei wachumia tumbo kama magamba.
 
Back
Top Bottom