Hukumu ya wanachama 19 wa CHADEMA ilitolewa na Mhe. Jaji Mkeha kuhusu wanachama 19 wanaodaiwa kuwa walijipeleka Bungeni bila ridhaa ya Chama chao. Hukumu imetoka na kueleza kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata taratibu zote kuhusu kuwafukuza.
Pili hukumu imetoka kuwa kulikuwa na dosari katika Baraza Kuu la CHADEMA. Hawakupaswa kuwemo katika Baraza Kuu wale wajumbe wa Kamati Kuu waliowapigia kura ya kuwafukuza na hivyo kuwapigia kura tena wakiwa kwenye Baraza Kuu.
Sasa swali, Ikiwa Mhe. Jaji anakubali kuwa uamuzi wa Kamatik Kuu ilikuwa ni halali, je hawa Wabunge 19 sasa wanatakiwa watoke Bungeni na kama ni rufaa wakate wakiwa nje ya Bunge au lile dosari iliyopo kwenye Baraza Kuu bado inawabeba bado kuendelea kuhudhuria Bungeni?
Nawasilisha.