Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,608
- 5,269
magwanda yapi awavue, halafu akishawavua magwanda watabakije sasa!?Ajaribu kama kweli! wamefanya madudu si angewavua magwanda au ndio ficha kombe... (scapegoats)?
magwanda yapi awavue, halafu akishawavua magwanda watabakije sasa!?Ajaribu kama kweli! wamefanya madudu si angewavua magwanda au ndio ficha kombe... (scapegoats)?
Na kuhusu gamba Shibuda waliamua je? Kama hawawezi kumwajibisha watukabidhi people's dynamics(power).Kupitia taarifa ya habari tbc saa kumi, Dr. Slaa ametoa tamko kuhusu sakata la umeya Arusha.Ametoa tamko kuwa Naibu meya ajiuzulu mara moja katika nafasi yake ya unaibu meya, pamoja na madiwani wote wa chadema walioteuliwa/kuchaguliwa kuongoza baadhi ya kamati wajiuzulu nafasi hizo, wabaki na udiwani peke yake.my take: CC ya chadema hawakutaka kabisa kugawana vyeo, jambo ambalo lingefanya kukosa changamoto za upinzani ndani ya baraza la madiwani Arusha. kusingekuwa na tofauti na ccm na cuf zanzibar.hata hivyo naona busara zimetumika, maana vinginevyo ilikuwa ni kuwapiga chini wote ngoma inaanza upya.
so what is the way foward...kwa hiyo mgogoro unabaki palepale
Kupitia taarifa ya habari tbc saa kumi, Dr. Slaa ametoa tamko kuhusu sakata la umeya Arusha.
Ametoa tamko kuwa Naibu meya ajiuzulu mara moja katika nafasi yake ya unaibu meya, pamoja na madiwani wote wa chadema walioteuliwa/kuchaguliwa kuongoza baadhi ya kamati wajiuzulu nafasi hizo, wabaki na udiwani peke yake.
my take: CC ya chadema hawakutaka kabisa kugawana vyeo, jambo ambalo lingefanya kukosa changamoto za upinzani ndani ya baraza la madiwani Arusha. kusingekuwa na tofauti na ccm na cuf zanzibar.
hata hivyo naona busara zimetumika, maana vinginevyo ilikuwa ni kuwapiga chini wote ngoma inaanza upya.
Tatizo kubwa linalowasumbua Viongozi wetu ni kutokujali amani tuliyonayo,viongozi hawataki demokrasia kwa kada za chini,haiwezekani madiwani waamue kuafikiana na wkuwatumikia wananchi,Kamati kuu ya Chadema itengue,Hata huyo mbunge tunaambiwa hakupitishwa na vikao vya mkoa bali ni uamuzi wa mtu mmoja,Bado hatuna chama mbadala kwa wakati huu.Kidumu chama cha MapinduziKamati kuu ya cdm imewataka madiwani wake waliochaguliwa kushika nyadhifa kwenye kamati mbalimbali za halmashauri ya jiji akiwemo nafasi ya unaibu meya kujiuzulu mara moja. Kamati ilibaini muafaka uliokuwa umefikiwa na madiwani hao haukufuata taratibu, katiba na haukuwa na baraka za chama.
unamaono ya mapepo unahitaji maombi njoo uombewe Cdm!slaa ni mnafiki sana kiasi hiki, mleteni yeye tu 2015 mpate kichapo alipokuwa anasema eti atawafukuza cdm mbona kimya hadi sasa leo anaanza blah blah nyiingi wajiuzulu, kujiuzulu ni hiari ya mtu, kwa hiyo wameshindw kuwafukuza na wameamua kutuzuga kuwa wameagiza wajiuzulu, utumbo mtupu, ili kesho aseme wamegoma.na shibuda je mbona hamsemi nyie wanafiki sana mbowe slaa wanafiki wakubwa.......hampati urais kamwe.vueni gambga basi
slaa ni mnafiki sana kiasi hiki, mleteni yeye tu 2015 mpate kichapo alipokuwa anasema eti atawafukuza cdm mbona kimya hadi sasa leo anaanza blah blah nyiingi wajiuzulu, kujiuzulu ni hiari ya mtu, kwa hiyo wameshindw kuwafukuza na wameamua kutuzuga kuwa wameagiza wajiuzulu, utumbo mtupu, ili kesho aseme wamegoma.na shibuda je mbona hamsemi nyie wanafiki sana mbowe slaa wanafiki wakubwa.......hampati urais kamwe.vueni gambga basi
shari ipo kwa ccm-jk, msaidie kutuambi umeme tunapataje? kutunyima umeme ni zaidi ya kutukatakata kwa panga!!!! mnatia aibu na vibarua vya kutetea misukule, tunataka umeme!!hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.
slaa ni mnafiki sana kiasi hiki, mleteni yeye tu 2015 mpate kichapo alipokuwa anasema eti atawafukuza cdm mbona kimya hadi sasa leo anaanza blah blah nyiingi wajiuzulu, kujiuzulu ni hiari ya mtu, kwa hiyo wameshindw kuwafukuza na wameamua kutuzuga kuwa wameagiza wajiuzulu, utumbo mtupu, ili kesho aseme wamegoma.
na shibuda je mbona hamsemi nyie wanafiki sana mbowe slaa wanafiki wakubwa.......hampati urais kamwe.
vueni gambga basi
mbona unatuamulia mkuu wakati wewe si mwananchi au ndo ninyi alikaidahakika ya dr slaa ni mshari asiyependa amani itawale arusha.
Hakika dr slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.