Uamuzi wa kamati kuu ya chadema kuhusu madiwani wake Arusha

Watanzania wengi wamekata tamaa na watawalai kwani nchi inazidi kuangamia huku wao (watawala) hawaonyeshi kujali. Rais anaendelea na ratiba za safari za nje na kucheka cheka bila kujali matatizo yaliyopo nchini kwake. Naona kila dalili kwamba wananchi wamechoka na wanaishiwa uvumilivu kwa kasi. Matatizo yaliyopo nchini ni makubwa kuliko hata yale yaliyosababisha rebellion kule Egypt na Tunisia. It's just a matter of time.
 
Kwa jinsi watanzania tunavyoburuzwa na kufukarishwa watawala wetu huku tukibaki khmya kama vile hatuumizwi hali hiyo,NAHISI MAJIRANI ZETU WANATUSHANGAA SANA!
 
Unajuaje kama na hao wabunge wa CDM walikuwa hawapo kwenye huo mgao? Nakushauri ubadilishe maombi yako, waombe watanzania wote waandamane na wala usiwaombe CDM kwani watz wengi wameshawazarau hata hao wabunge wenu CDM.
 
hATUNA rAISI NA WASAIDIZI WAKE WOTE WAMELALA TUMUOMBE MUNGU SANA NCHI YETU IWE SALAMA UKWELI KUNA OMBWE LA UONGOZI NA HALI HII HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU UHURU HATA VIONGOZI WA DINI WALIOKUWA WAMEKAZANA KUMSAIDIA KUMPIGIA CHAPUO NAO KIMYA SASA NJAA ZIMEWAKOA MPAKA UTOSINI
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mnatakiwa mjenge demokrasia ya kweli ndani ya chama chenu.Ndani ya CDM mwanachama hana uhuru wa kutoa maoni yalio tofauti na matakwa ya vinara wake, wala mwanachama hana haki kugombea nafasi ya kisiasa isipokuwa kwanza aruhusiwe na vinara wenye chama kuigombea nafasi hiyo, kama wenye chama wakimwamuru kwamba nafasi hiyo mwachie fulani inabidi mwanachama atii amri na kuachana na nia ya kugombea nafasi aliyokusudia.Kura hupigwa kwa geresha tu ukitata kuthibitisha haya leo hii muulize David Kafulila, muulize Zitto Kabwe ilikuaje ajitoe kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uenyikiti wa Taifa wa CDM? Jibu liko wazi kwamba Zitto alikuwa anahatarisha ushindi wa Freeman Mbowe.Nani aliyesema CDM wanaamini katika uchaguzi? Kama wana imani hiyo mbona wameshindwa uchaguzi wa kweli wa Baraza lao la Wanawake (Bavicha)? Na kwa nini chaguzi zao zote zimejaa mizengwe kuanzia Baraza la Vijana, Baraza la Wanawake hadi kupata wabunge wa viti maalumu.Sasa yalimkumba Zitto, yamemwangukia John Shibuda, CDM inataka kumfukuza, kisa Eti hataki kusalimu amri na kukubali utawala wa imla wa CDM, Tindu Lissu anasema wanajipanga kwa uchaguzi mdogo utadhani katumwa na wapiga kura wa Maswa.Lipo hili suala la ruzuku, mbona hao wazalendo wa bandia hawasemi bungeni kwamba ruzuku zitolewazo kwa vyama vya siasa ni unyonyaji mtupu zinaishia kuliwa na vigogo wa vyama, kama wao wa kweli wajenge hoja ya kufutwa kwa vyama vyote vya siasa.Nawakilisha jibu kwa hoja
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mnatakiwa mjenge demokrasia ya kweli ndani ya chama chenu.Ndani ya CDM mwanachama hana uhuru wa kutoa maoni yalio tofauti na matakwa ya vinala wake, wala mwanachama hana haki kugombea nafasi ya kisiasa isipokuwa kwanza aruhusiwe na vinara wenye chama kuigombea nafasi hiyo, kama wenye chama wakimwamuru kwamba nafasi hiyo mwachie fulani inabidi mwanachama atii amri na kuachana na nia ya kugombea nafasi aliyokusudia.Kura hupigwa kwa geresha tu ukitata kuthibitisha haya leo hii muulize David Kafulila, muulize Zitto Kabwe ilikuaje ajitoe kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uenyikiti wa Taifa wa CDM? Jibu liko wazi kwamba Zitto alikuwa anahatarisha ushindi wa Freeman Mbowe.Nani aliyesema CDM wanaamini katika uchaguzi? Kama wana imani hiyo mbona wameshindwa uchaguzi wa kweli wa Baraza lao la Wanawake (Bavicha)? Na kwa nini chaguzi zao zote zimejaa mizengwe kuanzia Baraza la Vijana, Baraza la Wanawake hadi kupata wabunge wa viti maalumu.Sasa yalimkumba Zitto, yamemwangukia John Shibuda, CDM inataka kumfukuza, kisa Eti hataki kusalimu amri na kukubali utawala wa imla wa CDM, Tindu Lissu anasema wanajipanga kwa uchaguzi mdogo utadhani katumwa na wapiga kura wa Maswa.Lipo hili suala la ruzuku, mbona hao wazalendo wa bandia hawasemi bungeni kwamba ruzuku zitolewazo kwa vyama vya siasa ni unyonyaji mtupu zinaishia kuliwa na vigogo wa vyama, kama wao wa kweli wajenge hoja ya kufutwa kwa vyama vyote vya siasa.Nawakilisha jibu kwa hoja

Obsessive-compulsive disorder -OCD

Someone with an obsessive-compulsive disorder feels they have no control over certain thoughts or ideas that are highly disturbing to them, but which seem to force themselves into consciousness. These thoughts, or obsessions, create unbearable anxiety, which can only be relieved by performing a particular ritual to neutralise them. This could be something like repeatedly opening and closing a door, washing hands, or counting
 
  • Thanks
Reactions: LAT
pumba za vilaza hizi

you are a hate Preacher ...... unaeneza chuki tuuu ndiyo kazi yako humu jf

umeme hamna ..... rushwa imejaa tele we kazi yako majungu kwa CDM
 
demokrasia itasababisha chama kiende kwa makini so mbowe atafanyaje biashara zake?
 
Obsessive-compulsive disorder -OCD Someone with an obsessive-compulsive disorder feels they have no control over certain thoughts or ideas that are highly disturbing to them, but which seem to force themselves into consciousness. These thoughts, or obsessions, create unbearable anxiety, which can only be relieved by performing a particular ritual to neutralise them. This could be something like repeatedly opening and closing a door, washing hands, or counting
Clarinetist
 
pumba za vilaza hiziyou are a hate Preacher ...... unaeneza chuki tuuu ndiyo kazi yako humu jfumeme hamna ..... rushwa imejaa tele we kazi yako majungu kwa CDM
Claque
 
Back
Top Bottom