Uamuzi wa kamati kuu ya chadema kuhusu madiwani wake Arusha

Hivi barubaru ni nini? Kikwetu barubaru ni makalio ya nyani!Busara ya cdm imezidi ya magamba by far sidhani kama magamba walitegemea kitu kama hiki. Kama hawa madiwani watakaidi amri hii ndipo utakapojua kuwa cdm hailei wachumia tumbo kama magamba.
Unachoshindwa kuelewa ni ahadi iliyotolewa ya kuwafukuza uanachama pindi itapojulikana kuwa walikula dili na CCM.Je,walikula dili na CCM?
 
hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.
Jina ma akili yako vinafanana kama buti na ffu
 
hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.

Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.

We utakufa na majiji yako na shallow mind minds za watu kama wewe. Lazima mabadiliko yaje upende usipende
 
Unachoshindwa kuelewa ni ahadi iliyotolewa ya kuwafukuza uanachama pindi itapojulikana kuwa walikula dili na CCM.Je,walikula dili na CCM?

ni kweli alitangaza kwamba kama watakutwa na makosa atawafukuza uanachama. sasa sijui ripoti inasemaje maana anasema wajiuzuru tu vyeo walivyopata na si udiwani. hapo kuna kitu kimejificha; huenda uongozi wa juu ndiyo ulichemka na hivyo ili kuficha hilo wanawanyamazisha kimya kimya kwa kuwambia mjiuzuru vyeo mbaki madiwani
 
Unachoshindwa kuelewa ni ahadi iliyotolewa ya kuwafukuza uanachama pindi itapojulikana kuwa walikula dili na CCM.Je,walikula dili na CCM?
Tamko la katibu mkuu linasema walikula dili?
Usiwe kama nyuma kwa bata!!!
 
faiza kama kawa na ubishi wako lol,achana na hiyo mambo bn hata kama baba au mama yako akiamua jambo baya ambalo litaidhuru familia yako hakika huwezi kumuacha aidhuru familia yako ingawa ni baba yako
 
hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.

Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.
Mkuu Barubaru kwanza jina linaonekana ,,Kama matunda ya Mzambarau" we unakula kuku tu'' tuliza tu mpira huko ulipo ya kwetu hapa nyumbani tuachie wenyewe"mambo yakiwa sawa karibu" Kama kweli we ni mbongo na unachungu,hasira na jinisi gani hapa mabo yalivyo.
 
Tamko la katibu mkuu linasema walikula dili?
Usiwe kama nyuma kwa bata!!!
Jibu swali,madiwani walikula dili?...kama hawakula dili,maana yake uongozi wa CDM ulijuwa hili,kama walikula dili kwanini msiwaengue?...dah! mnashindwa hata kumtoa chibuda!
 
big up the real Dr. 2nd baba wa taifa our trust n faith still relay on u for the building the new and hopefully tanzania

Noop!! wala hajawa hata baba wa mtoto wa mushumbuzi awe baba wa taifa? you should be joking!!! Acha kwanza tuone kama ana uwezo wa kuongoza familia yake!!! Acha "Mchumba" wake ajifungue kwanza then aitwe baba (Ofcourse tofauti ya umri wake na mwanae itaku about sixty years) then aitwe dad!
Tatizo la Dr. Kazungukwa na vijana kiasi anajisahau ka umri kameenda, In fact pmoja na yoote, the only wise person ndani ya CDM ni Hon. Mbowe tu, baada ya Bob makani. Kama Dr. hawezi ku-solve tatizo dogo tu la Ars how can he solve matatizo ya kitaifa? You do not have to fight to be a man!! Sometimes walk away from touble!!!
 
Wakati ndio huu unaofaa, dhamira ipo, hali halisi inaruhusu "NGUVU YA UMMA NI ZAIDI YA SHERIA" watanzania tumevumilia vya kutosha matokeo yake tumezidi kuumia, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha kila idara..TABAKA TAWALA LINAFAIDI MAZIWA NA ASALI, ilhali wananchi tuliowaweka madarakani tumetota,ELIMU, AJIRA, AFYA, NISHATI, MFUMUKO WA BEI..kwa kuwa CDM mmekuwa mkimbana JK kuchukua MAAMUZI MAGUMU lakini kumbe ni SIKIO LA KUFA ,tunawaomba sasa muitishe MAANDAMANO YA NCHI NZIMA kupinga utawala huu usiojali wananchi wake huku raisi wake akiendelea kuponda raha na safari zisizokwisha wala kuwa na tija kwa watanzania..(nina mengi ya kuongea) " CHADEMA FANYA MAAMUZI MAGUMU SASA"
 
Hao unaowashauri waitishe maandamano ni miongoni mwa tabaka nyonyaji.
The whole system requires a fresh start.

I don't KNOW how, but may be through a REBELLION which should be organized by youth (unemployed) and students from primary schools, secondary and high learning institutions allover the country!

I no longer have trust in opposition in Tanzania............
 
Nadhani wameingia kwenye mwafaka kama madiwani wa Arusha na hatujui kama wameshagawiwa kitu kidogo maana hiki chama ndicho kidogo kimeonyesha njia hakitaki kukanyaga mafuta ni kama kimeanza kuchakachuliwa na baadaye tutawaona wanaweza kuishia kama cuf.

Mimi hata sijui kinachosubiriwa hapa ni nini maana bunge lenyewe limekuwa la kibabe na spika wake na huwezi kusema tunataka sheria gani inafaa na ipi haifai almradi tunapelekwa kama kondoo wasio na mchungaji wakati watu wana imani na chadema nacho ndicho sasa kimeingiliwa na mamluki kibao kutoka ccm namaamuzi magumu yalikuwa ni madiwani wa Arusha lakini wamekaa kimya wakati hapo ndipo palikuwa kiini cha mabadiliko
 
Hao unaowashauri waitishe maandamano ni miongoni mwa tabaka nyonyaji.
The whole system requires a fresh start.

I don't KNOW how, but may be through a REBELLION which should be organized by youth (unemployed) and students from primary schools, secondary and high learning institutions allover the country!

I no longer have trust in opposition in Tanzania............

naogopa ban na ID yangu nyingine nimesahau password
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom