Uamuzi wa kamati kuu ya chadema kuhusu madiwani wake Arusha

Wanaoijua CDM hawawezi kushangaa sana. Hiki si chama bali ni kampuni (au tuseme NGO) ya kifamilia.
Bahati mbaya sana ni kwamba hii NGO inatawaliwa na kabila moja lililokaa kibiashara zaidi.
Wakuu wa kampuni wakiamua jambo, waajiriwa shurti waseme: 'hewala bwana'.
Shibuda ni mmoja wa waajiriwa. Kama ilivyo kwa wenzake wote, yeye si mbunge kwa maana halisi ya MBUNGE.
Hana haki ya kutoa mawazo yake kama MBUNGE.
Yanayomkuta yamesababishwa na yeye kudai haki hiyo - alijisahau akajiona kuwa yeye ni MBUNGE kama alivyokuwa CCM.
Kumbe hana haki hiyo katika kampuni hii.
 
Wanaoijua CDM hawawezi kushangaa sana. Hiki si chama bali ni kampuni (au tuseme NGO) ya kifamilia.
Bahati mbaya sana ni kwamba hii NGO inatawaliwa na kabila moja lililokaa kibiashara zaidi.
Wakuu wa kampuni wakiamua jambo, waajiriwa shurti waseme: 'hewala bwana'.
Shibuda ni mmoja wa waajiriwa, kama ilivyo kwa wenzake wote, yeye pia si mbunge kwa maana halisi ya MBUNGE.
Hana haki ya kutoa mawazo yake kama mbunge.
Yanayomkuta yamesababishwa na yeye kudai haki hiyo - alijisahau akajiona kuwa yeye ni MBUNGE kama alivyokuwa CCM.
Kumbe hana haki hiyo katika kampuni hii.

hakuna mtu anayeweza kusadiki huu upuuzi wako uliobandika hapa pamoja na mtoa mada ya kijinga
 
UDASA sio ya chama chochote ni ya wasomi wa UDSM msichanganye mafuta na maji hayatachanganyika hata kidogo. Nina imani kwa sasa wako busy na Bunge litakapokwisha wataendelea na mada kuu ya KATIBA ili 2015 tuweze kufanya maamuzi ya busara na ya maana.
 
HTML:
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mnatakiwa mjenge demokrasia ya kweli ndani ya chama chenu.Ndani ya CDM mwanachama hana uhuru wa kutoa maoni yalio tofauti na matakwa ya vinara wake, wala mwanachama hana haki kugombea nafasi ya kisiasa isipokuwa kwanza aruhusiwe na vinara wenye chama kuigombea nafasi hiyo, kama wenye chama wakimwamuru kwamba nafasi hiyo mwachie fulani inabidi mwanachama atii amri na kuachana na nia ya kugombea nafasi aliyokusudia.Kura hupigwa kwa geresha tu ukitata kuthibitisha haya leo hii muulize David Kafulila, muulize Zitto Kabwe ilikuaje ajitoe kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uenyikiti wa Taifa wa CDM? Jibu liko wazi kwamba Zitto alikuwa anahatarisha ushindi wa Freeman Mbowe.Nani aliyesema CDM wanaamini katika uchaguzi? Kama wana imani hiyo mbona wameshindwa uchaguzi wa kweli wa Baraza lao la Wanawake (Bavicha)? Na kwa nini chaguzi zao zote zimejaa mizengwe kuanzia Baraza la Vijana, Baraza la Wanawake hadi kupata wabunge wa viti maalumu.Sasa yalimkumba Zitto, yamemwangukia John Shibuda, CDM inataka kumfukuza, kisa Eti hataki kusalimu amri na kukubali utawala wa imla wa CDM, Tindu Lissu anasema wanajipanga kwa uchaguzi mdogo utadhani katumwa na wapiga kura wa Maswa.Lipo hili suala la ruzuku, mbona hao wazalendo wa bandia hawasemi bungeni kwamba ruzuku zitolewazo kwa vyama vya siasa ni unyonyaji mtupu zinaishia kuliwa na vigogo wa vyama, kama wao wa kweli wajenge hoja ya kufutwa kwa vyama vyote vya siasa.Nawakilisha jibu kwa hoja

Mkuu Ritz, heshima kwako. Sasa hivi tunajadili serious issue kuhusu Serikali kuwahonga wabunge. hili la kwako sio issue kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
HTML:
Mkuu Ritz, heshima kwako. Sasa hivi tunajadili serious issue kuhusu Serikali kuwahonga wabunge. hili la kwako sio issue kabisa.
Mkuu Saharavoice, nakuheshimu sana, ili jambo ni serious issue pia sio la kupuuza hata kidogo CDM ndio chama kikuu cha upinzani sisi kama wananchi tuna haki kutoa ushauri, nashangaa watu wakuwa na jazba wakati sisi wote ni watanzania
 
Unajuaje kama na hao wabunge wa CDM walikuwa hawapo kwenye huo mgao? Nakushauri ubadilishe maombi yako, waombe watanzania wote waandamane na wala usiwaombe CDM kwani watz wengi wameshawazarau hata hao wabunge wenu CDM.

Nakuunga mkono mkuu,upo sahihi kabisa kwani hizo kamati za bunge zinaundwa na wabunge kutoka vyama vyote,hakuna kamati za c.c.m au za c.d.m,kwa maana hiyo kama ni mgao wanakula wote.
 
Hao unaowashauri waitishe maandamano ni miongoni mwa tabaka nyonyaji.
The whole system requires a fresh start.

I don't KNOW how, but may be through a REBELLION which should be organized by youth (unemployed) and students from primary schools, secondary and high learning institutions allover the country!

I no longer have trust in opposition in Tanzania............
Acha kukata tamaa wewe hakuna dhambi kubwa kama hii.
 
Katika hali isiyo ya kawaida madiwani wa chadema mjini hapa wakiongozwa na huyo wanaemuita naibu meya wametoa tamko mchana ya leo katika ukumbi wa city link kua hawako tayari kujiudhuru nyadhifa zao.Ikumbukwe kwamba katibu mkuu dr slaa aliwaagiza kuachia ngazi hizo ili kuendelea na hilo wamesema kua wako tayari kufukuzwa na sio kama ambavyo cdm imeamua habari za uhakika na za kuaminika ni kua wao hata wakifukuzwa wanajua wazi kua watashinda hivyo kulifanya suala hilo kua gumu
 
kisa ni constant conflicts ni hii ndyo iliyoigawa sudani na naigeria

Watu wengine bwana, wanatoa mada sili waonekane, hata kama ni pumba, upupu, vinyesi etc. wakati unaandika ulikuwa chooni sijui mharo ulikuzidi?
 
Katika hali isiyo ya kawaida madiwani wa chadema mjini hapa wakiongozwa na huyo wanaemuita naibu meya wametoa tamko mchana ya leo katika ukumbi wa city link kua hawako tayari kujiudhuru nyadhifa zao.Ikumbukwe kwamba katibu mkuu dr slaa aliwaagiza kuachia ngazi hizo ili kuendelea na hilo wamesema kua wako tayari kufukuzwa na sio kama ambavyo cdm imeamua habari za uhakika na za kuaminika ni kua wao hata wakifukuzwa wanajua wazi kua watashinda hivyo kulifanya suala hilo kua gumu

Mungu wangu mbona madiwani wanaleta chokochoko. Hao ni waasi inabidi wafutwe kutoka Chamani uitishwe uchaguzi upya ili tujue kama wao ndio wana nguvu ama chama!
 
katika hali isiyo ya kawaida madiwani wa chadema mjini hapa wakiongozwa na huyo wanaemuita naibu meya wametoa tamko mchana ya leo katika ukumbi wa city link kua hawako tayari kujiudhuru nyadhifa zao.ikumbukwe kwamba katibu mkuu dr slaa aliwaagiza kuachia ngazi hizo ili kuendelea na hilo wamesema kua wako tayari kufukuzwa na sio kama ambavyo cdm imeamua habari za uhakika na za kuaminika ni kua wao hata wakifukuzwa wanajua wazi kua watashinda hivyo kulifanya suala hilo kua gumu

hauko makini kaka ukumbi uliotumika ni pentagon garden ambako kunamilikiwa na huyo unaomwita ni naibu meya
 
Mungu wangu mbona madiwani wanaleta chokochoko. Hao ni waasi inabidi wafutwe kutoka Chamani uitishwe uchaguzi upya ili tujue kama wao ndio wana nguvu ama chama!

katika siasa za kisasa inabidi mtu ndio ukibebe chama sio chama kikubebe wewe. Jamaa wanajiamini sababu wameona wao ndio wanakibeba chama hata wakienda chama kingine bado watashinda
 
Back
Top Bottom