Uamuzi wa kamati kuu ya chadema kuhusu madiwani wake Arusha

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Kamati kuu ya cdm imewataka madiwani wake waliochaguliwa kushika nyadhifa kwenye kamati mbalimbali za halmashauri ya jiji akiwemo nafasi ya unaibu meya kujiuzulu mara moja. Kamati ilibaini muafaka uliokuwa umefikiwa na madiwani hao haukufuata taratibu, katiba na haukuwa na baraka za chama.
 
Kupitia taarifa ya habari tbc saa kumi, Dr. Slaa ametoa tamko kuhusu sakata la umeya Arusha.
Ametoa tamko kuwa Naibu meya ajiuzulu mara moja katika nafasi yake ya unaibu meya, pamoja na madiwani wote wa chadema walioteuliwa/kuchaguliwa kuongoza baadhi ya kamati wajiuzulu nafasi hizo, wabaki na udiwani peke yake.

my take: CC ya chadema hawakutaka kabisa kugawana vyeo, jambo ambalo lingefanya kukosa changamoto za upinzani ndani ya baraza la madiwani Arusha. kusingekuwa na tofauti na ccm na cuf zanzibar.

hata hivyo naona busara zimetumika, maana vinginevyo ilikuwa ni kuwapiga chini wote ngoma inaanza upya.
 
big up the real Dr. 2nd baba wa taifa our trust n faith still relay on u for the building the new and hopefully tanzania
 
so what is the way foward...kwa hiyo mgogoro unabaki palepale

inavyoelekea ngoma bado iko mezani. nadhani mediation inaendelea kati ya Waziri mkuu na Mbowe.
in the mean time mgogoro utakuwa hakuna, kazi itachapwa kama kawaida, lakini hakuna kugana vyeo kama the magambaz na cuf kule zenji.
 
Kama kweli angewaambia wajiuzulu na Udiwani, anaogopa nini? kurudiwa kura?

hekima ilitumika ndiyo maana hakufanya hivyo.
hata kama angechukua hatua kama hiyo bado chadema wangeshinda kwa kishindo. kwa hapa arusha ni bandika bandua toa chuma weka chuma.
 
Wawe na subira tu yataisha haya soon, ni harakati hizo, ila ukitaka kushiba while ww ni mwanaharakati hutufai kabisa.

Wangewasiliana na wakubwawao kabla hawakubali vyeo vyao.
 
Dr anabusara sana vinginevyo wangejiuzuru wote.kupeana vyeo kunamadhara makubwa kwa upinzani hasa kudharauliwa kama ambavyo nape anamdharau maalim seif eti anagonga glass ya wisky haya matusi.muafaka ufuate taratibu na sheria.
 
hekima ilitumika ndiyo maana hakufanya hivyo.
hata kama angechukua hatua kama hiyo bado chadema wangeshinda kwa kishindo. kwa hapa arusha ni bandika bandua toa chuma weka chuma.

Ajaribu kama kweli! wamefanya madudu si angewavua magwanda au ndio ficha kombe... (scapegoats)?
 
hakika ya Dr Slaa ni mshari asiyependa amani itawale Arusha.

Hakika Dr Slaa ni balaa kubwa kwa mustakabali wa amani na maendeleo ya Arusha mjini. Hakika watu kama hawa hawastahki hata kidogo kupewa madaraka ya aina yoyote huko nchini kwenu.
 
kwa hiyo sasa nani atakaeunda baraza la madiwani na ofisi ya meya wa jiji nani atakae toa maamuzi na je patashaurika hapo au ndo kile wanachosema ni uroho wa madaraka..
 
CHADEMA haitaki uongozi wa mgawanyo kwani ndoo hii inamfanya Maalim Seif kutaka kuhamia CCM kwa kuwa tayari kalamba harufu ya magamba...
 
Back
Top Bottom