Tunaosubiri namba E tukutane hapa

[mention]Extrovert [/mention] kaka naomba kuuliza
Me najua kua ile herufi ya kwanza ya plate number ndio inaonesha upya wa gari kua imesajiliwa sio kitambo kuzidi zingine

Ila je zile herufi zinazofata nazo zina matter?
Ina matter na ndio maana kwa sasa tunakoelekea mwishoni mwa. herufi D tunafuatilia kwa makini.

Soon baada ya series ya D ikiisha itaanza series ya E ambayo nayo itachukuwa kati ya miaka 7-10 mpaka kuisha na kuanza series ya F.

Kwa Resale value ya gari kibongo bongo imeonekana Series ikiwa sio current inapunguza thamani ya gari sokoni. Mfano kwa sasa gari ikiwa number C ama gari ikiwa D kuna uwezekano wa D kuwa na soko zaidi kuliko C. Hata kama gari namba C ni nzima kuliko D ila namba D ndio ina chance kubwa ya kuuzwa bei nzuri.
 
Hapo nmekusoma man
 
Back
Top Bottom